Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,372
Team yoyote ni lazima ipitie mabadiliko, sioni kwanini unasema tumekwisha wakati hata hao wakati wanacheza tulikuwa tunfungwa na walikuwa wanafanya makosa pia, suala la ulinzi ni la wote na sio beki tu, team ikishirikiana kujilinda hata ubovu wa beki hautouona.Wakuu hivi kumbe mihimili yetu ya center backs wote wametukimbia.
Sasa kina nani wanachukua nafasi za Ramos na Varane pale nyuma?
Tumekwisha ahaaaa!
We msifiaji bila shaka umeona bayern alichofanya kwa Barcelona fc, kule ndio tunaita timu imecheza vizuri sio kujazana ujinga na kukimbilia visingizio vya mtaani( hujui mpira, hujaangalia mechi au huangalii mechi zetu).Huyu jamaa sina uhakika kama amekuwa akifuatilia game zetu, atakuwa amevamia jukwaa ama inawezekana ni type za yule jamaa mwingine
Sasa Barcelona inanihusu vipi? Nenda kwenye uzi wao mkajadiliane,We msifiaji bila shaka umeona bayern alichofanya kwa Barcelona fc, kule ndio tunaita timu imecheza vizuri sio kujazana ujinga na kukimbilia visingizio vya mtaani( hujui mpira, hujaangalia mechi au huangalii mechi zetu).
Tulikuwaje wakati tunajipigia? Au timu ile ndio hii wewe ulienza kufatilia muda mrefuMambo ya Barca hapa ya nini? hao Bayern Munich tumejipigia kila tukikutana labda mpira ume anza kufatilia mwaka huu
Endelea kujitoa ufaham.Sasa Barcelona inanihusu vipi? Nenda kwenye uzi wao mkajadiliane,
Mkuu acha mihemko.. Hakuna timu inabaki kwenye kiwango chake forever.. Kuna kupanda na kushuka..Endelea kujitoa ufaham.
Second half tumeweza ku control mchezo vizuri.So far Courtois ndio man of the match kwa upande wetu, Hopefully kipindi cha pili team itabadilika, 4 4 2 ninadhani ingependeza zaidi, acha tuone Ancelotti atakuja na majibu gani.
Kabisa man, kipindi cha pili team ilicheza vizuri kwa kweli, Leo mipira mizuri ilikuwa inamdondokea Vinicius halafu anazingua, mwenzie Rodrygo kapata nafasi moja tu na akafunga., Sema ile pass ya Valverde kwa Camavinga ilikuwa ya kibabe sana.Second half tumeweza ku control mchezo vizuri.
The future is promising with these kids.
Hata assist aliyopiga Camavinga nayo alitulia sana. Madogo wapo vizuri. Ni swala la muda tu.Kabisa man, kipindi cha pili team ilicheza vizuri kwa kweli, Leo mipira mizuri ilikuwa inamdondokea Vinicius halafu anazingua, mwenzie Rodrygo kapata nafasi moja tu na akafunga., Sema ile pass ya Valverde kwa Camavinga ilikuwa ya kibabe sana.
Courtois anastahili, Mendy akirudi kutatulia zaidi. Benzema hakupata service ya maana leo, kwa Camavinga mchezaji tumepata.Alaba yupo vizuri kiukweli, kama combination yake na Militao ikikaa vizuri, basi tutakuwa na backline nzuri sana, plus Courtois Leo alikuwa kwenye Ubora wake, kafanye save a zaidi ya tano., Kwangu Mimi jamaa ndio alikuwa Man of the match.
Vini sitegemei kama atabadilika sana, kaanza kucheza ligi kuu kwao huko tangu ana miaka 16 hadi leo ana 21 na bado yupo vilevile, tegemea leo akicheza vizuri kesho hovyo. Rodrygo goli huwa analijua ni basi tu huwa hapewi sana nafasi.Kabisa man, kipindi cha pili team ilicheza vizuri kwa kweli, Leo mipira mizuri ilikuwa inamdondokea Vinicius halafu anazingua, mwenzie Rodrygo kapata nafasi moja tu na akafunga., Sema ile pass ya Valverde kwa Camavinga ilikuwa ya kibabe sana.
Alaba yupo vizuri kiukweli, kama combination yake na Militao ikikaa vizuri, basi tutakuwa na backline nzuri sana, plus Courtois Leo alikuwa kwenye Ubora wake, kafanye save a zaidi ya tano., Kwangu Mimi jamaa ndio alikuwa Man of the match.