OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Mna pound billion moja tuwape Kante? Kama hamna kausheni tuNaona makelele amejitokeza katika sura ya Kante,Casemiro ameshakuwa na kitambi...nafikiri tumuangazie huyu Kante.
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Carlo Bernabeu ni nyumbani reappointment yake nmeipendaReal Madrid reappoint Ancelotti as Zidane's replacement.
Carlo Ancelotti has left Everton and been reappointed as head coach of Real Madrid, returning to the Bernabéu on a three-year contract.
Real Madrid reappoint Ancelotti as Zidane's replacement.
Carlo Ancelotti has left Everton and been reappointed as head coach of Real Madrid, returning to the Bernabéu on a three-year contract.
Sure, mwenyewe ninadhani amependa kurudi., acha aje atujengee tena team ya ushindani, na amekuja muda muafaka Kabisa, sijui atafanya vp ila ni matumaini yangu kuwa atatutengenezea kikosi bora cha ushindani.Carlo Bernabeu ni nyumbani reappointment yake nmeipenda
Uzi upo poa tu huu man, kasoro umeiona wapi hapo kwenye huo uzi
Hiyo mixing ya michirizi ya blue na orange kwenye shingo na ktk logo ya Adidas haijamatch vizuri..nafikiri hiyo mixing blue ingetafutiwa na colour nyingine na si orange...Uzi upo poa tu huu man, kasoro umeiona wapi hapo kwenye huo uzi
We kima rudi kwenye jukwaa lako hili ni maji marefu na ki club chenu ulichoaanza kukijua Jose morinho alipoanza kuwa manager.Oyaaaa nyie matakataka Kuna ambaye hajacheki mechi Jana?? ...basi tunaombea iludiweee iludiweee ili muone mpira mwingi hamjapata ona..
Chelsea Champions UEFA,...
Msimu ujao jipangeni Kama tukikutana tusiwabamize Tena bao nyingi..
Hahahahah
Huyu ancelloti huyu mtamkumbuka Zidane.Ancelotti ninaona hataki shida, ni chap ameshaanza kazi kutengeneza bench lake la ufundi, acha tuone kama this time kweli amedhamiria kurekebisha alichokosea kipindi kile ama amekuja tu kwa kuwa amehitajika na Real Madrid
Sasa mkuu hutaki kukubaliana na ukweli? Hii Madirid kuja kubeba uefa tena ni baadae miaka kumi uko, hutaweza tena kujenga kikosi cha ushindani kama mile cha Cr7. Kwa sasa clabu za England zitatawala soka la Ulaya. Huku zikiongozwa na mfalme wa London CHELSEA.We kima rudi kwenye jukwaa lako hili ni maji marefu na ki club chenu ulichoaanza kukijua Jose morinho alipoanza kuwa manager.
Usivamie uzi wa club kubwa ambayo hata robo ya vikombe vyake vya kimataifa hamjawai ifikia
Sasa mkuu hutaki kukubaliana na ukweli? Hii Madirid kuja kubeba uefa tena ni baadae miaka kumi uko, hutaweza tena kujenga kikosi cha ushindani kama mile cha Cr7. Kwa sasa clabu za England zitatawala soka la Ulaya. Huku zikiongozwa na mfalme wa London CHELSEA.
sasa basi uwezekano wa Carlo kuwin ndani ya Madirid ni kama hauko vile ..
Bado unayo nafasi ya kuweza kuchagua either timu moja wapi kati zile NNE pale England.
#CFC
Mbinu zake bado zipo poa, hata pale Everton alifanya vyema tu, shida ya Ancelotti ni moja tu, huwa anapenda kuwa na kikosi kidogo na hilo ndio mara nyingi huwa linamletea shida, kwa mfano pale Everton James akiwa nje kwa majeruhi basi walikuwa wana yumba, na hata ule msimu wa mwisho kwetu kilichomletea shida ni kikosi kidogo alichokuwa nacho, Sasa na juzi nimesikia akisema tena kuwa anataka apunguze wachezaji, ninaona anaelekea kule kule.Kwa kumfuatilia vizuri Carlo pale Everton naona kama mbinu zake zinaelekea mwisho wa matumizi maana sikuona chaajabu alichofanya na usajili alioufanya ulikuwa wa wachezaji wazuri kwa level ya everton...... Madrid kwanini mmeamua kucheza kamari nyingine?