Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Kweli wamepambanai
Zidane out kwa lipi?
Zidane out kwa lipi?
Akikupatia jibu linaloeleweka nitag Mkuu, kisha atueleze ni kocha gani angeweza kufika hapo alipofika Zidane na hii timu!!Zidane out kwa lipi?
Ukweli mchungu, ningependa mshinde laliga ila Barca wana advantage zaidi yenu na ATMKweli walipambana, si unaona mbeleko ya Refa haikuwasaidia Sevilla? Bado tuna game 3 so kula mtu ashinde mechi zake, matokeo ya mwisho ndio yatakayoamua.
Sema hawakusikii wala kukuonaMimi bado naamini tunatakiwa tufanye reform ya hii timu kuanzia benchi la ufundi,waliopo wengi wameshashinda kila kitu kwa hiyo hawana morali....kwa sababu unaona kabisa mnafikia sehemu kwenye peak yakupata ushindi ila huon timu ikicheza kwa jasho na damu..
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Ni kweli, Barca hawana fixture ngumu, so yoyote atayeteleza kati yetu na Atletico itakuwa advantage kwao,Ukweli mchungu, ningependa mshinde laliga ila Barca wana advantage zaidi yenu na ATM
🤣🤣🤣🤣 Eti??Wakuu, Atleti na Barca wametoa suluhu, yaani kesho tukimpiga Sevilla tunakaa pale kileleni. Na kila game inayokuja itakuwa fainali
Barcelona walipoteza ubingwa game ya Granada imekula kwaoNi kweli, Barca hawana fixture ngumu, so yoyote atayeteleza kati yetu na Atletico itakuwa advantage kwao,
Zidane alifeli Sana aliporudi Tena kwenye hili timu.
Baada ya kubeba zile ndoo tatu mfululizo za UEFA basi Angelinda heshima yake tu.x
Sasa kajirudisha angalia aibu yake.
Not based on facts, ndo shida yenu mashabiki wa EPL. Hebu tueleweshe angelinda heshima yake kivipi yani?Zidane alifeli Sana aliporudi Tena kwenye hili timu.
Baada ya kubeba zile ndoo tatu mfululizo za UEFA basi Angelinda heshima yake tu.x
Sasa kajirudisha angalia aibu yake.
Not based on facts, ndo shida yenu mashabiki wa EPL. Hebu tueleweshe angelinda heshima yake kivipi yani?
Zidane alifeli Sana aliporudi Tena kwenye hili timu.
Baada ya kubeba zile ndoo tatu mfululizo za UEFA basi Angelinda heshima yake tu.x
Sasa kajirudisha angalia aibu yake.
Ni kweli, Barca hawana fixture ngumu, so yoyote atayeteleza kati yetu na Atletico itakuwa advantage kwao,
Ungepewa wewe hio squad ya RMA kwa kipindi hiki ungefika hata round of 16?Zidane alifeli Sana aliporudi Tena kwenye hili timu.
Baada ya kubeba zile ndoo tatu mfululizo za UEFA basi Angelinda heshima yake tu.x
Sasa kajirudisha angalia aibu yake.
Alivyofika akabeba la Liga,Zidane apewe bajeti asajili timibadilikeZidane alifeli Sana aliporudi Tena kwenye hili timu.
Baada ya kubeba zile ndoo tatu mfululizo za UEFA basi Angelinda heshima yake tu.x
Sasa kajirudisha angalia aibu yake.
Anaondoka mwisho wa msimu huu...Alivyofika akabeba la Liga,Zidane apewe bajeti asajili timibadilike
Hata akiondoka,bado ni kocha mwenye mafanikio kwa muda mfupi aliokaa,