pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,259
- 3,754
Hizi beki kama zimepigwa barafu aisee.....Viungo wanafanya kazi yao vizuri, mbela wako vizuri, shida kubwa inakuja kwa mabeki kupanda sana mbele, kukabia macho na kupenda mpira wa nyuma.
Me sioni kabisa mpira anaocheza chelsea. Tunafungwa kwa magoli ya kizembe tu.
Upo sahihi 100%....hakuna mpira wa hatar hapa...sisi tunapiga sana back pass,hakuna press kabisa...Me sioni kabisa mpira anaocheza chelsea. Tunafungwa kwa magoli ya kizembe tu.
Man hatuwezi kuwa na hatari kihivyo kumbuka ule upande wa kushoto yupo Hazard, na kulia yupo Vinicius, Sasa huu upande wa Vinicius ndio tumepotea kwasababu jamaa huwa hawezi kuanzia kulia ni afadhali angeanza Asensio ama Rodrygo, Hawa ndio wanaweza kucheza wing ya kulia, kule kushoto tupo very superior ila ndio kwanza hawazalishi chochote, hope Zidane ameona hii kitu, team inacheza poa sana tunahitaji vitu vidogo sana kumalizia hii game.Upo sahihi 100%....hakuna mpira wa hatar hapa...sisi tunapiga sana back pass,hakuna press kabisa...
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Nadhani Zidane ataongea nao, ngoja tuone wanarudi vipi second half.Upo sahihi 100%....hakuna mpira wa hatar hapa...sisi tunapiga sana back pass,hakuna press kabisa...
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Ushabiki muda mwingine unafurahishaAtafutweee
Nacho ingependeza zaidi angerudi kulia, ili Militao na Ramos warudi kati, kwasababu kule kushoto kama tuna watu wengi sana, halafu kama inawezekana Hazard acheze kulia kwasababu yeye ni mzoefu kidogo Vinicius arudi wing ya kushoto kwasababu ni kama tumempoteza Vinicius kwenye hii game.
oho tulifika nusu hatuachi kombe maviNyie mnayo
Vinicius ni mchezaji mzuri, ila hii game imemshinda. Mabeki wetu wanapanda sana juu, na pale mashambulizi yanapoanza kuru kwetu wamekuwa ni wazembe sana kumark watu. Uwepo wa Ramos leo imesaidia, vinginevyo tungekuwa tumefungwa hata magoli mawili kabisa.Man hatuwezi kuwa na hatari kihivyo kumbuka ule upande wa kushoto yupo Hazard, na kulia yupo Vinicius, Sasa huu upande wa Vinicius ndio tumepotea kwasababu jamaa huwa hawezi kuanzia kulia ni afadhali angeanza Asensio ama Rodrygo, Hawa ndio wanaweza kucheza wing ya kulia, kule kushoto tupo very superior ila ndio kwanza hawazalishi chochote, hope Zidane ameona hii kitu, team inacheza poa sana tunahitaji vitu vidogo sana kumalizia hii game.
mbona unalia sasaZidane kiazi sana naona amezidiwa mbinu kabisa, Kila saa back passes na side passes. Modric unamuweka sita alafu casemiro 8 kwenye mechi inayohitaji ufundi unategemegea nini? Tunajua zidane anategemea wachezaji kwa uwezo wao wambebe kuliko mbinu zake basi ajitahidi hata kupanga watu kwenye nafasi zao. Wachezaji wetu wanabahatisha passes na hakuna muunganiko kabisa.
ingia weweVinicius ni mchezaji mzuri, ila hii game imemshinda. Mabeki wetu wanapanda sana juu, na pale mashambulizi yanapoanza kuru kwetu wamekuwa ni wazembe sana kumark watu. Uwepo wa Ramos leo imesaidia, vinginevyo tungekuwa tumefungwa hata magoli mawili kabisa.
Hakuna decent cross yoyote iliyopigwa na full backs wetu hadi sasa.Vinicius ni mchezaji mzuri, ila hii game imemshinda. Mabeki wetu wanapanda sana juu, na pale mashambulizi yanapoanza kuru kwetu wamekuwa ni wazembe sana kumark watu. Uwepo wa Ramos leo imesaidia, vinginevyo tungekuwa tumefungwa hata magoli mawili kabisa.
Dogo hajawahi kucheza wing ya kulia ndio maana Zidane huwa anaanza na Asensio ama Rodrygo kwenye hiyo nafasi, Kijana huo upande amepoteaVinicius ni mchezaji mzuri, ila hii game imemshinda. Mabeki wetu wanapanda sana juu, na pale mashambulizi yanapoanza kuru kwetu wamekuwa ni wazembe sana kumark watu. Uwepo wa Ramos leo imesaidia, vinginevyo tungekuwa tumefungwa hata magoli mawili kabisa.
Wewe nae, una utoto mwingi sana.ingia wewe