Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,368
Asante kwa point of correction....Modrić kwa sasa ana miaka 35 Mkuu, anakimbilia 36 muda sio mrefu., lakini bado yupo vizuri
Dogo Luca nachomkubali huwa ana confidence moja kubwa kuliko jinsi anavyoonekana. Nakumbuka hiyo namba Full Right back haikuwa namba yake rasmi. Kwenye msimu mmoja wa UCL majeraha ya DANI CARVAJAL ndo yalimwezesha kuziba hilo pengo mpaka wa leo.Tuombe Lucas awe hana majeraha makubwa, anasaidia sana huyu bwana mdogo
benzema ni mzuri sana sema tu alikua chini ya kivuli cha RonaldoHuyu mtu sometime...ila Zidane anatakiwa amtumie sana Vini anaweza kutuhakikishia ushindiView attachment 1748814
Sema kuna hali ilitokea kutokutulia kwenye 18 ya adui wetu ama mtu kupiga tu tunapokaribia lango la adui, hii kitu iliniudhi sana, kila mtu alitaka kupiga tu.
Pia na kukosa umakini kwa wachezaji wetu, Leo tulikuwa tuwagonge jamaa hata goli nne.
Dogo Luca nachomkubali huwa ana confidence moja kubwa kuliko jinsi anavyoonekana. Nakumbuka hiyo namba Full Right back haikuwa namba yake rasmi. Kwenye msimu mmoja wa UCL majeraha ya DANI CARVAJAL ndo yalimwezesha kuziba hilo pengo mpaka wa leo.
Dogo haangalii sura. Natamani kumwona VINI jnr anapitia daftari la notsi za Luca Vasquez.
Hilo jambo lilinikera sana Mkuu, tulipata nafasi nzuri sana kwenye eneo la hatari la Barca sema utulivu ulikosekana, Zidane itabid akaa na vijana wake awaeleze maana ya kutumia nafasi tunazopata kwa usahihi kwasababu unaweza ukauza ushindi hivi hivi, kama lile tukio la dk 90.Mara nyingi sana captain akiwa Benzema hua nidhamu ya timu inashuka.
Kuna muda ilikua kila mtu akifika golini ni kubutua.
Sikuona mantiki ya Benzema kupiga faulo wakati Kroos yupo, faulo ya pili alijishitukia akamuacha Kroos na Kroos hana hiyana akatia nyavuni.
All in all tumecheza vizuri, tunashambulia kwa kujihami na hii inatusaidia sana.
Ila kijana msimu ujao anaondoka, ninasikia ameshafanya mazungumzo na Bayern Munich, pale ataletwa kijana wetu aliyekuwa Real Madrid Castilla ila kwasasa anachezea Levante anaitwa Jorge de Frutos.Hakuna kitu kama
Hivi uliona ushangilia wa wa goli la Benzema. Alikuwa anauliza why? Yaani ilikuwa maana yake, why people don't give you respect? Nakumbuka hata Ronaldo mwenyewe pale alikuwa anamtegemea Vazquez, akichukua mpira tu ujue lazima auingize kwenye box
Tough luck Madridistas, but we'll finish the season smiling. We always show up when disrespected and underrated.
German sniper Ton KroosCasemiro ni MWAMBA.
Combination ya Nacho na Militao inasaidia sana, hawana makosa mengi na wanajitahidi kukabiliana na pressure.
Vini kaanza kukua.
Kroos na Modric ni wachawi wa mpira kwa era hii.
Yeah, Kijana bana tunaweza tusimuone tena kwenye uzi wetu endapo hatafikia makubaliano na club juu ya mkataba mpya.Nasikia Vasquez nje mpaka msimu unaisha