Ramos na Casemiro ndio ngao zetu, wakikosekana hawa hali hua ni tete.
Kupona kwa Fedrico kunatoa tumaini jipya la rotation pale kati.
Kroos na Modric wanazeeka na utamu wao, wanajua.
Dani ni beki mzuri sana ila hasemwi sana.
Hivi kwanini Militao hapangwi, baada ya Varane kua anatoa boko sana nilidhani Zidane inabidi awapange Ramos na Militao ili Militao apate experince kutoka kwa faza.
Atretico ndio ilikua timu bora mpaka sasa kwenye La liga lakini wamekaa, kipindi cha kwanza wametafuta sana mpira kwa tochi.