Yaani ukishangaa ya Madrid unakutana utopolo original kutoka Catalonia. Nimepitia kwenye mitandao naona wanalialia tu eti Refs hakuwafanyia haki. Sijui lini wataacha kulia

Hii mi naiona tofauti na wewe.. Dogo amekua msumbufu sana mechi za hivi karibuni, kwahiyo inawezekana jamaa walijiandaa kumdhibiti, hawakumpa space kabisa. Ila ikawa msaada kwa wengine kua free.