Vijana wamejitahidi sana, Real Sociedad sio timu ya kubeza mnafahamu hilo. Ila watoto hao hao ndiyo waliotupa vikombe vya ndani. Baada ya ku-excel kwenye UCL back to back miaka michache tu iliyopita tukiwa na huyu huyu Zizzou tusitegemee kurudi kwenye peak ndani ya muda mfupi tu kwa kuwategemea wachezaji wale wale tuliokuwa tukilalamika kwamba wameshachoka ukizingatia pia mabadiliko yaliyofanyika kikosini hata yeye ameliona hilo. Ni wakati wake sasa na yeye ajenge kikosi imara kitakachoirudisha Real Madrid kwenye hadhi yake iliyozoeleka kwa miaka mingi, ni swala la muda tu. Hata tungefanya usajili wa maana kiaje, getting back on our usual UCL peak cannot happen ovenight!