Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tunacheza show game team imejaza watoto kama tupo kwenye mashindano ya vipaji Zizu ana zingua Bale, James, Regullion wameondoka hakuna replacement ya maana hatuwezi kwenda kushindana UCL na hawa watoto
Umeongea kitu cha msingi sana.. Kuondoka kwa hawa wote imeniuma mno. sioni cha maana kwa hwa watoto waliopo kini vinicious Jr
 
Real madrid haiezi rudi kwenye peek hadi zidane aondoke
Zidane ana u Arsner Wenger usha ona wapi team haisajiri misimu mitatu wanaondoka watu wa maana tuna replace watoto hata kama ni kujenga team huku kumezidi
Vijana wamejitahidi sana, Real Sociedad sio timu ya kubeza mnafahamu hilo. Ila watoto hao hao ndiyo waliotupa vikombe vya ndani. Baada ya ku-excel kwenye UCL back to back miaka michache tu iliyopita tukiwa na huyu huyu Zizzou tusitegemee kurudi kwenye peak ndani ya muda mfupi tu kwa kuwategemea wachezaji wale wale tuliokuwa tukilalamika kwamba wameshachoka ukizingatia pia mabadiliko yaliyofanyika kikosini hata yeye ameliona hilo. Ni wakati wake sasa na yeye ajenge kikosi imara kitakachoirudisha Real Madrid kwenye hadhi yake iliyozoeleka kwa miaka mingi, ni swala la muda tu. Hata tungefanya usajili wa maana kiaje, getting back on our usual UCL peak cannot happen ovenight!
 
Zizou bana naamini atahakikisha luka jovic anasepa pale naona hamkubali kabisaa

Nimemuangalia Luka Jovic last season. What I have seen, he's not hungry. He's lazy, doesn't have fighting spirit. He doesn't want to press, doesn't have vocal to ask for the ball, he doesn't want to find spaces and he's just okay to be marked by CB opponents. There's a reason that's why Zidane didn't play him last season.
 
Tonight's starting XI to face Real Betis

Ei3B9A9XgAEvZLN
 
Fede starts. Odegaard na Jovic in. Yaani nikiangalia hii first eleven naona Zidane anabeba Champions league
 
Benzema with a cross from the right side and Valverde with a touch from inside the box to score Real Madrid 1st goal of the season
 
Back
Top Bottom