Kwenye recent history hakuna Era mmekua na mafanikio kuliko wakati wa Ronaldo. Toka aondoke hamna guarantee ya kumfunga vitimu kma Sociedad au Getafe!!
Real Madrid was a one man team, na hamna kombe mtabeba tena unless mmwage kama €200 M mumvute mtu calibre ya Mbappe au Neymar.
Neno!! Ni muda wa kujipongeza kwasasa, kuna watu walikuwa wanatuombea tufungwe ili wapate cha kuongea ila tumewawahi kufunga mdomo, ndio maana unaona maneno meengii yasio na kichwa wala miguu!!Ni mida ya kupongezana wana madrid wenzangu ,sioni sababu ya kubishana na mtu kuhusu fulani kuhusu timu fulani, kila mmoja apambane na timu yake kutafuta ushindi. Maana ndio wale ambao walisema zidane hawezi shinda tena kikombe na madrid
Leo madrid tumecheza vizuri japokuwa mkosa madogo madogo yalikuwapo, kwangu valverde kwa alicho kifanya ni sawa ata commentator (it professional foul)
So far tujipongeze kwa kuanza mwaka vizuri
Mumpige Liver kwa forward gani?? Toka Ronaldo asepe mmekua wa kawaida sana alikua anawabeba mnoo. kiufupi UEFA mtaisikia kwenye bomba, tutarudi hapa April kukumbushana.
Mlikua na Ronaldo mkuu..... Sahvi mko wenyewe hivi vitoto kina rodrygo na vinicius ndio wakumfunga liver?Unapata wapi nguvu za kulinganisha Liverpool na RMA? last final waliongea sana mwisho wa siku wakalala 3 - 1 , Liverpool EPL tu inawatoa jasho na kamasi ijekua UCL?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bado critics wa zidane wapo sawa.... Supercup sio major trophy ni kma community shield tu. Pia Madrid kaingia kwa wildcard sio merit.Ni mida ya kupongezana wana madrid wenzangu ,sioni sababu ya kubishana na mtu kuhusu fulani kuhusu timu fulani, kila mmoja apambane na timu yake kutafuta ushindi. Maana ndio wale ambao walisema zidane hawezi shinda tena kikombe na madrid
Leo madrid tumecheza vizuri japokuwa mkosa madogo madogo yalikuwapo, kwangu valverde kwa alicho kifanya ni sawa ata commentator (it professional foul)
So far tujipongeze kwa kuanza mwaka vizuri
Mkuu bado critics wa zidane wapo sawa.... Supercup sio major trophy ni kma community shield tu. Pia Madrid kaingia kwa wildcard sio merit.
La liga,spanish cup na UCL ndio kipimo cha zidane sio hili bonanza la uarabuni
Hana jambo la maana la kusema zaidi ya kuomba tu Zidane afail, watu wa hivi ni unakuta anaumia kisa mafanikio ya mtu, sasa safari hii wajiandae kulazwa kabisa sababu Zidane ndio kwanza ameanza awamu ya pili.Aya unatakaje kwa mfano