mashish
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 831
- 544
Daah nimecheki game ya jana nasikitika kusema hawa watoto naona hawatupeleki kokote. Nafasi wanatengeneza lakini umaliziaji hata hamna kitu. Mafogo wanahitaji muda zaidi kuweza kutuprove wrong.
Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu huyo Bale mwenyewe aliingia uliona alichokifanya!? Ni afadhali angeingia Isco atoke Vinicius ili Rodrygo acheze left wing, Ninaona dogo yupo poa zaidi akitokea wing hiyo.., Ila nilichoona jana sio team ilishindwa kutengeneza.nafasi ila waliopata nafasi kushindwa kuzitumia!!Saa zingine Zizu hayupo serious unamuachaje Bale nje alf Vunisius Jr ana anza kama sio dharau ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app