Absolutely tukiongeza umakin second half tunamalizqLeo madrid ipo vizuri. Usajili huu atafutwe mshambuliaji matata.
Hao wakubebwaThat was a clear penalty by Rakitic to Varäne. Sijui hii VAR ipo kwa ajili ya nini?
Utulivu unahitajika sana, vijana wanafanya haraka.mpaka kwenye box la wajamaa., Pia Mendy bado hajapiga mipira ya mwisho inayoleweka., Tunahitaji kila mmoja kuwa katika ubora wake na kutimiza majukum yake vyema .11 chances lakini hakuna mtu wa kuweka mpira kimiani. Hata hivyo Ter Stegen kawabeba sana dakika hizi 45