21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,843
Aisee Madrid imekua timu ya kawaida sana pamoja na usajili mlioufanya ni zero kabisa. Madrid ilikua inabebwa na CR7
Kwenye hili usimuhusishe Lampard kabisa. Muache afanye kazi yake.Huu ndio uhalisia khalisi wa Zidanne, tumegundua kuwa alipobeba uefa Mara tatu mfululizo ni alitembelea nyota za wachezaji kadhaa kama Cr7, akina mordich, Bale, na wengineo ambao walikuwa moto.
Sasa ndo tunamuona Ziddane khalisi jinsi ambavyo hajui chochote kuhusu ukocha.
Lampard is better so far than Ziddane ...
Bisheni..
Hata kama watapinga, Zidane hakuwa na msaada wowote pale Madrid ktk kupata yale makombe.Ni kwamba,wakat huo madrid ilikuw na players waliokuwa na kiu kubwa ya mafanikio na makombe makubwa, hapo sa ndo ulikuw unaona vichaa vya watu kama Cr7,Modric,Marcelo, Kroose,na akina Casemilo.Af mwisho wa siku watu wakadhani n kocha, Sasa hv timu hiyo haiwezi tena,ukocha hawezi alikuwa ananufaika na bidii binafsi za wachezaji na sio mbinu zake.Aisee Madrid imekua timu ya kawaida sana pamoja na usajili mlioufanya ni zero kabisa. Madrid ilikua inabebwa na CR7
Ni kweli lakini ukimuangalia Lampard na Zizzue huyu wa sasa nan ana afadhali kidgo? Maana Ziddane wa sasa ndo Ziddane khalisi..Kwenye hili usimuhusishe Lampard kabisa. Muache afanye kazi yake.
hao wachezaji kama wamesharidhika wameshashinda makombe yote makubwa, hawana motivation. Mm naona Hazard alikosea tu timing angeenda kipindi kile Madrid ipo kwenye pick angeng' aa ila sasa hivi anaonekana nichezaji wa kawaida tuHata kama watapinga, Zidane hakuwa na msaada wowote pale Madrid ktk kupata yale makombe.Ni kwamba,wakat huo madrid ilikuw na players waliokuwa na kiu kubwa ya mafanikio na makombe makubwa, hapo sa ndo ulikuw unaona vichaa vya watu kama Cr7,Modric,Marcelo, Kroose,na akina Casemilo.Af mwisho wa siku watu wakadhani n kocha, Sasa hv timu hiyo haiwezi tena,ukocha hawezi alikuwa ananufaika na bidii binafsi za wachezaji na sio mbinu zake.
Hahaha Navas alikuwa sahihi sana apo madirid ila kumuaminj Qotwaa ambaye ana laana ya fans wa Chelsea maana ni kama msaliti hivi ..iyo ni Ku take risk kubwa sana ...Sijui nn tunasubiri kumfukuza zizou, tutakuja kupata dhahama kubwa sn, jus imagen jana mbappe na neymar wangekuwepo hali ingekuwaje??
Madrid kuna wachezaj wazuri sn tatzo hakuna kocha wa kuisuka team, matatzo ya team yetu ni yale yale ya kila sku intensity, markin, pressing....Zizou halishashndwa kusolve those problems pre-season nimiujiza gn tunasubir kutoka kwake?
Blunder ya mwaka tunamuuza navas tunabak na shati courtois...



Hazard akitoka madrid atarudi chelseahao wachezaji kama wamesharidhika wameshashinda makombe yote makubwa, hawana motivation. Mm naona Hazard alikosea tu timing angeenda kipindi kile Madrid ipo kwenye pick angeng' aa ila sasa hivi anaonekana nichezaji wa kawaida tu
inawezekana pia, Drogba alishafanya hivyoHazard akitoka madrid atarudi chelsea
I don't want to blame Zidane on this, he wanted to build the team on his way, they interfere now we get the results we deserve. Where are those people who were crying no need to buy a midfielders because James should stay?
I don't want to blame Zidane on this, he wanted to build the team on his way, they interfere now we get the results we deserve. Where are those people who were crying no need to buy a midfielders because James should stay?
Lig alibeba akiwa na mourinyoHahaha Navas alikuwa sahihi sana apo madirid ila kumuaminj Qotwaa ambaye ana laana ya fans wa Chelsea maana ni kama msaliti hivi ..iyo ni Ku take risk kubwa sana ...
Kuanzia Qotwaa mpaka uyu Ziddane timu nzima imepigwa
Cr7 alikuwa ni motivation kwa wachezaji wengi sana apo madirid ..na alikuwa sahihi kwake kuondoka ..maana kila kitu kabeba na hii timu.. Kasoro la liga nadhani
Zidane anachoweza ni kutembelea Timu walizotengeneza Wengine ili ajipatie Mafanikio kiurahisi.
Aliipata Real katika kipindi sahihi ambacho BALE, CR7, BENZEMA, MODRIC, KROOSE, MARCELO, NAVAS, RAMOS, CASEMIRO wapo on fire akawa anajipigia Kitonga tu!
Sasahivi wameshachoka hao wazee Zidane hajui afanye nini!!
Laufupi Zidane ni Mzee wa Kitonga tu
Sasa unaposema Zidane "wanted to build the team on his way" hapo ni false hope tu! Zidane hana uwezo wa Coaching wala kutengeneza Timu.
Zidane hawezi kutengeneza timu leo, wakati alitaka kuuza hao wakina Bale media, fans and all of the world was against him. Remember he wanted to bring new midfielders the board na kila mtu alikuwa anapiga kelele James abaki. How he could build new team without to sell some players? Real Madrid wakubali kuuza na kununua la sivyo sio Zidane tu kila manager akija hii timu tayari imeshapoteza connections uwanjani.
Utakuwa ni moja mkuu na Mourihno..Ana la liga 2 cr 7 kam cjakosea