Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
27,894
Points
2,000
Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
27,894 2,000
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.

Stadium: Santiago Bernabéu, Chamartin, Madrid.

Club official website: Real Madrid CF | Official Website
 
Last edited:
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
142,974
Points
2,000
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
142,974 2,000
Hivi kwanini kila mchezaji anayeondoka madrid lazima mumzushie maneno. Kila mtu aliona jinsi bale alivyokua ananyanyaswa na zidane tena hadharani. Same to Navas jamaa hakua kwenye mipango ya zidane msimu huu. Zidane anamtaka mwanae pale golini
Mkuu mbona unanikatisha tamaa kwa maneno andiko lako, ninaona umejitambulisha kama Madridista ila ilichokiandika hakiendani na u Madridista wako.,
Kwa upande wangu sioni kosa la.Management kwenye suala la Navas kuondoka, ni.kweli alikuwa golikipa wetu mahiri sana na ametusaidia sana, ila hili la kuondoka aliomba mwenyew na club ikakubali, kwa upande wangu club ndio ilifanya jambo la busara kwani Navas alijulishwa tokea msimu unamalizika juu ya nafasi yake ndani ya kikosi akasema atabaki msimu huu, club ikamtoa Lunin kwa mkopo ili apate nafasi ya kucheza kwa kuwa angebaki isingewezekana kupata nafasi mbele ya Navas, ila dakika za Mwisho anaomba kuondoka huku tayari tumeshamtoa Lunin kwa mkopo, kwangu nilimuona kama kigeugeu, sababu angekubali toka awali kuondoka Lunin angebaki kama golikipa namba mbili.,
Ishu ya Benzema inaeleweka tokea siku nyingi kwamba anapwaya kwenye nafasi yake, kama club itafanikiwa kumsajili Mbape msimu unaokuja ndio ninadhani utakuwa Mwisho wa Benzema Real Madrid., hapa tuombee tu Jovic achangamane na wenzie mapema na aweze kuona goli vizur ili ampe Zidane changamoto kwenye kuchagua kikosi.
Regullion acha kwanza apate changamoto ya kutosha atarudi tu msimu ujao na mwezie Hakimi. Mendy yupo poa kiukweli, kama kila game atacheza kama alivyocheza juzi basi wale wapinzani waliozoea kupitia ule upande kwasasa wasahau hilo suala, Kijana yupo makini sana.
Mkuu unavyoona wewe unadhani Kubo anaweza kuchukua namba ya nani kwenye kikosi chetu kwasasa!? acha akapate experience. Sio rahisi hivyo kuchezea Real Madrid, Mwezie Odegaard licha kuwa na msimu mzuri zaidi kule Uholanzi bado ametolewa tena kwa mkopo huwezi kujiuliza imekuwaje !?
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
2,478
Points
2,000
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
2,478 2,000
Hivi kwanini kila mchezaji anayeondoka madrid lazima mumzushie maneno. Kila mtu aliona jinsi bale alivyokua ananyanyaswa na zidane tena hadharani. Same to Navas jamaa hakua kwenye mipango ya zidane msimu huu. Zidane anamtaka mwanae pale golini
We ndio umeharibu ..maana huyo mwanae alishaondoka madrid mapema sana kabla ya msimu huu haujaanza labda kama kwa kusema hakuwa kwenye mpango
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
142,974
Points
2,000
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
142,974 2,000
Sijaharibu mkuu. Mwanae ilishindikana kumpachika pale mvutano ulikua mkubwa.
We ndio umeharibu ..maana huyo mwanae alishaondoka madrid mapema sana kabla ya msimu huu haujaanza labda kama kwa kusema hakuwa kwenye mpango
 
Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
27,894
Points
2,000
Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
27,894 2,000
With the addition of Eder Militao and Ferland Mendy, our Defense looks like this. Will his addition will create some difference...??

Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
27,894
Points
2,000
Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
27,894 2,000
📝❌| Lucas Silva is no longer a Real Madrid player after the Brazilian midfielder and the club decided to terminate his contract by mutual consent.
As a result, the 26-year-old is now free to negotiate with any team, despite the transfer window having shut last night. In the coming days, Silva hopes to sign for another club in Europe.
Silva's contract was set to expire in June 2020, but both he and Real Madrid believed that his best chance of finding a new club was to do so as a free agent.

M

MASHUKE ORIGINAL

Member
Joined
May 26, 2013
Messages
64
Points
125
M

MASHUKE ORIGINAL

Member
Joined May 26, 2013
64 125
Me nacho ona zidane ni kutanguliza utaifa tuu ndio kinacho cost timu ..mtu kama varane weka nje mara 1,1 ili akili zimrudi vizuri
Me nacho ona zidane ni kutanguliza utaifa tuu ndio kinacho cost timu ..mtu kama varane weka nje mara 1,1 ili akili zimrudi vizuri
Hiyo ni kweli, Zizou anazingua wakati mwingine, namuheshimu kwa kuwa ni kocha aliyetupa mafanikio makubwa ila kuna sehemu anaharibu, Elder militao hajapewa hata dakika moja kwenye mechi zote tatu lakini utashangaa defence yetu kila Sikh inasababisha tufungwe kizembe, backline ile ile haibadilishwi. Kuna Hutu dogo Rodrygo inabidi apewe nafasi sana nilimuona tangu preseason dogo anajua kuliko vinicius Jr. Alafu Rodrygo ana accuracy kubwa ya kufunga magori.
 
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
8,681
Points
2,000
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
8,681 2,000
Zidane alitaka mabadiliko makubwa kwenye squad nzima. Kitu ambacho aliahidiwa hakikufanyika. Alitaka baadhi ya wachezaji waondoke nafasi zao afume timu mpya. Matokeo Real Madrid board failed to do it. Wachezaji hawataki kuondoka, timu imebaki almost with burned out players. Imeshakuwa hivi, inabidi afanye itakavyokuwa kuifanya timu irudi kwenye hali ya ushindi. I support this team in any condition. Negative comments azisaidii kitu. I still have hope to the trophies.
 
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Messages
12,430
Points
2,000
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined May 15, 2016
12,430 2,000
Zidane alitaka mabadiliko makubwa kwenye squad nzima. Kitu ambacho aliahidiwa hakikufanyika. Alitaka baadhi ya wachezaji waondoke nafasi zao afume timu mpya. Matokeo Real Madrid board failed to do it. Wachezaji hawataki kuondoka, timu imebaki almost with burned out players. Imeshakuwa hivi, inabidi afanye itakavyokuwa kuifanya timu irudi kwenye hali ya ushindi. I support this team in any condition. Negative comments azisaidii kitu. I still have hope to the trophies.
Sasa mulitaka aondoshe First XI yote na anunie First XI mpya?

Mumetumia zaidi ya €300m na kuwa ndiyo timu ilitotumia hela nyingi kuliko timu yoyote barani Ulaya halafu still munalalamika.

Yani hakuna timu inayobadilishwa kikosi kizima
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
2,478
Points
2,000
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
2,478 2,000
Hiyo ni kweli, Zizou anazingua wakati mwingine, namuheshimu kwa kuwa ni kocha aliyetupa mafanikio makubwa ila kuna sehemu anaharibu, Elder militao hajapewa hata dakika moja kwenye mechi zote tatu lakini utashangaa defence yetu kila Sikh inasababisha tufungwe kizembe, backline ile ile haibadilishwi. Kuna Hutu dogo Rodrygo inabidi apewe nafasi sana nilimuona tangu preseason dogo anajua kuliko vinicius Jr. Alafu Rodrygo ana accuracy kubwa ya kufunga magori.
Katuongezea tena golikipa wa kifaransa huyu sometimes anazingua ile ya ukweli ukweli yaani

Me nasema siku zote huyu vinicius hana futurw nzuri madrid akiendelea na huo mwendo wake dadeq
 
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
8,681
Points
2,000
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
8,681 2,000
Sasa mulitaka aondoshe First XI yote na anunie First XI mpya?

Mumetumia zaidi ya €300m na kuwa ndiyo timu ilitotumia hela nyingi kuliko timu yoyote barani Ulaya halafu still munalalamika.

Yani hakuna timu inayobadilishwa kikosi kizima

Kubadilisha kikosi kizima hapana, bali wachezaji aliotaka kutia sokoni hawakuondoka kwa sababu tofauti. Kwa mfano tumeona Mariano refused all the offers. Huwezi kuingiza mchezaji Kabla ya kuuza. Walichomuahidi Zidane hakikutokea. Nimesema let's support Real Madrid the way it is. No negative comments.
 
C

Cesar Caspar

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
1,434
Points
2,000
C

Cesar Caspar

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
1,434 2,000
Kubadilisha kikosi kizima hapana, bali wachezaji aliotaka kutia sokoni hawakuondoka kwa sababu tofauti. Kwa mfano tumeona Mariano refused all the offers. Huwezi kuingiza mchezaji Kabla ya kuuza. Walichomuahidi Zidane hakikutokea. Nimesema let's support Real Madrid the way it is. No negative comments.

Hii ya Mariano kidogo imenchekesha , Kijana amemua kukomaa kuwa haendi kokote, ninaona kukaa bench Real Madrid kuna uafadhali kuliko.kwingine sio., aliona mwenzie Bale alivyokomaa na yeye akafuata njia, ila acha tu abaki anaweza kutusaidia huko mbeleni sababu msimu ni mrefu sana na kuna majeruhi so ninadhan atapata nafasi ya kucheza huko baadae., kinachonifurahisha ni kuwa anajituma sana kwenye mazoezi ninadhan ana lengo zuri tu la kuisaidia team atakapo hitajika.
Sema kuna wachezaji wengine huwezi kuwalelewa nia yao, Mfano Isco, Lucas Vasquez, Nacho. na Asensio, huwezi kusikia wanalalamika kuwa wanaanzia bench ama wanacheza mechi chache, wao ninadhan wanapenda tu kuwa Real Madrid.
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
2,478
Points
2,000
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
2,478 2,000
Wachezaji wengi wa ki spanish ndio wako ivyo tena kama huyo nacho yeye vyovyote sawa tuu..ata yule mwenzake kiko casilla alikuwa goli kipa
 
Ziroseventytwo

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
5,492
Points
2,000
Ziroseventytwo

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2011
5,492 2,000
Tatizo linaloikabili Madrid kwa sasa ni kutokuwepo kwa Christiano ronaldo. Hili wengi wanaogopa kulisema. Zidane ni kocha wa kawaida kabisa, kama walivyo kina Moyes, Pulis, na wengine wa aina hiyo.
Mafanikio yake kwa % kubwa yalibebwa na Mnyama mkatili CR7. Kitendo cha kurudi kuifundisha baada ya kujiuzuli alikosea sana. Alishindwa kusoma nyakati. Ameamua kuichafua cv yake ya ukocha ambayo kwa haki kaandikiwa na ronaldo.

Huu msimu sijui nini kitatokea. Ila nachoamini, hamwezi kuwa juu ya barcelona, Atletico de madrid, na Sevilla. Kwa maana hiyo ni kwamba ubingwa kwa msimu huu hamwezi kupata.
 
Forum statistics

Threads 1,336,620
Members 512,670
Posts 32,545,449
Top