Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

IMG_20190612_230800_388.JPG
 
Huu usajili unao fanyika nina imani unyonfe kwa Barca sasa utaisha. Walau hata LaLiga msimu ujao daah
 
Shida hufuatilii mtiririko wa mjadala ulipoanza...... Mwenzio alianza kusema Madrid ni bora dunia nzima kisa ina UEFA mara 3 mfululizo hivyo hakuna timu inaweza.

Nikampa facts kwamba bayern na Ajax nazo ziliwahi 3 mfululizo so sio big deal kwa Madrid kufanya hivyo.... Hata sevilla ilibeba Europa mara 3 mfululizo ingawa hata top 3 haikuwahi gusa la liga

Hoja yangu ni kwamba knockout competition sio kipimo pekee cha kutambua timu gani bora ila mfumo wa ligi ndio unaweza.... Ssa huko spain timu yenu imeshindwa beba la liga ndio unasemaje ni timu bora???

Kuhusu psg na juve wao kma Madrid wametumia pesa nyingi kufika walipofika tofauti ni kuwa france na italy hakuna mpinzani wao kifedha kma ilivyo barca huko spain ndio maana madrid haifurukuti....... Otherwise Madrid is a shitty team so ia juve and PSG!!!

Timu bora ni kama Dortmund,Ajax,Spurs,Napoli,Atletico ambazo ni timu zina bajeti finyu lakini zinapunch above their weight kwa kuleta ushindani kwenye ligi zao kwa miaka mfululizo... Sio mnatumia matrillion then mnaishia kubahatisha kama Real alafu zijiite Team bora. Yaani mnashinda UEFA kwa penalty na extra time then mtu anasema timu bora. My foot.

Tena angalau Ronaldo alikua anawabeba sahivi kasepa ndio msahau La liga kwa miaka 10 ijayo mfululizo

Sore loser. Seems you are suffering from VDDHD

VERBAL DIORHEA DEHIDRATES HUMAN DIGNITY
 
Seems we might end up with the dabbing merchant from Man United. Not a fan of his antics at all, but I trust my boys to straighten him up if the move do actually happen.
 
Marcos Llorente for 40M €. Raul De Tomas for 20M. Plus a half of whatever Hermoso will be sold for. That's 80M € easily, off our Canteranos. With a possible sale of Borja Mayoral, Vazquez, Nacho, we'll hit a 100M minimum just from canteranos.

Kovacic, James, Ceballos, could also bring a 100M. Even if we decided to bring that drama queen from PSG, we'll still be safe from the FFP.
 
Back
Top Bottom