Huyo na pagan ni mtu mmoja ID tofauti. Jamaa anatamani kufuta rekodi zote za CR7 ndani ya madrid ila ndo hivyo tena haiwezekani
Mimi natumia ID moja tu humu, sio kama wewe mara ujiite Nifa, mara Numbisa, sijui unaogopa nini!
😂😂😂
Timu ikisha kuwa na mtu makini wa kutegemewa , mfumo wa timu unajengwa kwa huyo star, sio CR7 sio Messi hata akina Maradona, Pele na wengineo, timu ziliundwa kwa mfumo huoo huo dume. Usipojenga timu kwa huyo shujaa, timu haitakuwa na matokeo mazuri zaidi. Wewe mchezaji mwenye uwezo wa kufunga mpaka magoli 50 peke yake halafu mjifanye maskini jeuri hamtaki kumtegemea, haki ya Mungu timu itakufa maskini wa magoli. Lazima ategemewe na ndio maana hata makocha wazoefu hiyo hali ikitokea wanaunda timu kimfumo dume. Na hapa siongelei case ya CR7 tu bali generally. Juve naona kuna shida baada ya ujio wa CR7 labda kuna wachezaji waliokuwa wanaibeba timu wameweka kamgomo baridi na kwa hiyo ushirikiano wa kweli na CR7 siiuoni na ndio maana scoring yake haikuwa kubwa kama ilivyotazamiwaWamtoe sasa huyu mzee ronaldo ili wapate wanachotaka... Anaejenga mfumo huu wa mtu mmoja ndio alaumiwe sababu amefeli.. Then anafata huyu mzee kumuangusha kocha wake.
Hawako mbali waboreshe tu timu yao
Mnapata tabu sana na mafanikio yetu ambayo mnafahamu fika haitokuja tokea timu kuja kuyafikia hata nusu yake.toka VAR iwe introduced madrid ina struggle saaaaana na bado huo mweanzo mlizoea ushindi wa kubebwa na dive za cr7
Those Golden days are gone
Captain wetu, Sergio Ramos amemuomba Florentino Perez ahamie China bila ada yoyote, yaani free agent kwa vile wamemuahidi pesa nyingi huko. Nafikiri kuna kitu hakiko sawa kwenye akili za Sergio Ramos.
Mafanikio gani ambayo hayawezi fikiwa?? Kama ni UEFA mara 3 mfululizo mbona Ajax na bayern walishafanya kitambo sana!!Mnapata tabu sana na mafanikio yetu ambayo mnafahamu fika haitokuja tokea timu kuja kuyafikia hata nusu yake.
Uefa kachukua Mara 4 ndani ya miaka 5,taja timu yako iliyofanya hivyo eti Madrid ya kawaidaMafanikio gani ambayo hayawezi fikiwa?? Kama ni UEFA mara 3 mfululizo mbona Ajax na bayern walishafanya kitambo sana!!
Madrid imejenga timu kwa pesa hamkuzi wachezaji tofauti na Napoli,Dortmund au Ajax ambazo zinasajili average players na kuwakuza then kuwauza kwa bei kubwa hizo ndio timu maana returns zinalingana na uwekezaji waliofanya.
Ila madrid Mnasajili dirisha moja kwa 200m+ then mnajisifia mafanikio..... Huku youth development zero kabisa ona james mpka kakimbia,RDT,odegaard,reguilon,Llorente wote hawahitajiki. Isco mmemtosa bado vallejo na Diaz mnataka kuwapiga bei alafu mnadai hakuna timu inayowaweza!!! Kwa lipi labda??
Actually Timu yoyote ikiwa na pesa inaweza fikia mafanikio yenu. Na mshukuru mko La liga ambayo timu hazina pesa ila siku hizo sevilla,Getafe na valencia zikipata wawekezaji wa kueleweka mtakua timu ya kawaida sana maana sioni anything special kwa madrid ndio maana la liga mnashinda 2 kwa miaka 10.
Galacticos my foot
Mkuu umeandika hii ukiwa na akili timamu kweli?? Hembu hizo records za Ajax na Bayern kuchukua UEFA mara 3 zilete tuzioni.Mafanikio gani ambayo hayawezi fikiwa?? Kama ni UEFA mara 3 mfululizo mbona Ajax na bayern walishafanya kitambo sana!!
Madrid imejenga timu kwa pesa hamkuzi wachezaji tofauti na Napoli,Dortmund au Ajax ambazo zinasajili average players na kuwakuza then kuwauza kwa bei kubwa hizo ndio timu maana returns zinalingana na uwekezaji waliofanya.
Ila madrid Mnasajili dirisha moja kwa 200m+ then mnajisifia mafanikio..... Huku youth development zero kabisa ona james mpka kakimbia,RDT,odegaard,reguilon,Llorente wote hawahitajiki. Isco mmemtosa bado vallejo na Diaz mnataka kuwapiga bei alafu mnadai hakuna timu inayowaweza!!! Kwa lipi labda??
Actually Timu yoyote ikiwa na pesa inaweza fikia mafanikio yenu. Na mshukuru mko La liga ambayo timu hazina pesa ila siku hizo sevilla,Getafe na valencia zikipata wawekezaji wa kueleweka mtakua timu ya kawaida sana maana sioni anything special kwa madrid ndio maana la liga mnashinda 2 kwa miaka 10.
Galacticos my foot
Nafikiri vijana hawajui Real madrid ndio club bora katika karne hii....tatizo wanaangalia mechi moja...Mkuu umeandika hii ukiwa na akili timamu kweli?? Hembu hizo records za Ajax na Bayern kuchukua UEFA mara 3 zilete tuzioni.
Kabla haijaitwa UEFA unajua Madrid kachukua 5x mfululizo?
Timu nyingine nakumbuka walioweza kutetea miaka hiyo ni AC Milan japo hawakuweza kuchukua mara 5.
Ni mtu asiyejua mpira tu, mwenye ushabiki wa hovyo anaweza kuibeza Madrid kuhusu UEFA. Huwezi linganisha timu yoyote duniani na Madrid kwenye haya mashindano, labda utafute story nyingine
Hawaoni hawa, alafu hawajiulizi kwa miaka ya hivi karibuni wakati Madrid anachukua mara 3 mfululizo usajili wake ulikuaje?Nafikiri vijana hawajui Real madrid ndio club bora katika karne hii....tatizo wanaangalia mechi moja...
PSG na Man city wangechukua na wao...hata man u nao wangechukua...club zote kubwa zinatumia pesa...tatizo linabaki kwenye ubora wa timu...ndio hapo madrid wanapokuwa bora
Shida umeanza kufuatilia mpira juzi tu.... Hata Ajax ilishinda 3 mfululizo na hyo nyingine ikafungwa fainali so nayo ilikua na capacity kuchukua 4 in 5 seasons.... Sawa tu na benfica kizuri zaidi timu zao hazikuwa na bajeti kubwa kama hii madrid ya kipindi hicho na ya sasa.Uefa kachukua Mara 4 ndani ya miaka 5,taja timu yako iliyofanya hivyo eti Madrid ya kawaida
Nachosema msikuze sana eti UEFA mara 4 ndio basi Real ni best duniani..... Hapo Ajax aliwahi ingia fainali 4 kwa same period na kubeba mara 3 mfululizo. Tofauti yao ajax ilikua na bajeti ndogo kuliko hii Real madrid ya sasa na ya kale so ni success story mbili tofauti.Mkuu umeandika hii ukiwa na akili timamu kweli?? Hembu hizo records za Ajax na Bayern kuchukua UEFA mara 3 zilete tuzioni.
Kabla haijaitwa UEFA unajua Madrid kachukua 5x mfululizo?
Timu nyingine nakumbuka walioweza kutetea miaka hiyo ni AC Milan japo hawakuweza kuchukua mara 5.
Ni mtu asiyejua mpira tu, mwenye ushabiki wa hovyo anaweza kuibeza Madrid kuhusu UEFA. Huwezi linganisha timu yoyote duniani na Madrid kwenye haya mashindano, labda utafute story nyingine
Hahahaa, kwanza nikusahihishe, timu haiwezi kua bora duniani kwa kushinda ligi ya nyumbani, unaposhinda ligi ya nyumbani unakua bora huko huko kwako. Kwahiyo hiyo point yako ya psg na Bayan au Juve ni invalid.Nachosema msikuze sana eti UEFA mara 4 ndio basi Real ni best duniani..... Hapo Ajax aliwahi ingia fainali 4 kwa same period na kubeba mara 3 mfululizo. Tofauti yao ajax ilikua na bajeti ndogo kuliko hii Real madrid ya sasa na ya kale so ni success story mbili tofauti.
Juve na Bayern na PSG zimechukua ligi kuu mara ngapi mfululizo??? Je utasema ndio timu bora duniani...... Madrid imetumia pesa nyingi sana kufika hapo ilipofika so msiwakuze mno ni timu ya kawaida tu kama PSG, Juve na Bayern ambazo nazo zimetumia pesa hadi kuwa dominant.
Na ndio maana licha ya kubeba UEFA ambayo ni knock out competition la liga imekua ngumu kwenu sababu inahitaji consistency sio bahati kma za UEFA... Rejea mechi za UEFA final dhidi ya Atletico moja mlifunga goli dakika ya 90+ na nyingine hadi penalty ndio kubeba ndoo. Such luck haiwezi wabeba La Liga.
Real Madrid ni overrated ila it's shit oneni hata Atletico imewakalia misimu miwili mfululizo.....
Tena mshukuru Ronaldo alikua anawabeba bila hivyo ya msimu huu yangetokea kila season.
Hawaoni hawa, alafu hawajiulizi kwa miaka ya hivi karibuni wakati Madrid anachukua mara 3 mfululizo usajili wake ulikuaje?
Alinganishe na man City, PSG, Baca, Man U for the past 3 - 5 years.
Mimi nikiwa kama shabiki wa Madrid sijaona la ajabu kwa yaliyotokea msimu huu. Huwazi kua na timu Ina perform miaka 5 mfululizo ikaacha kushuka.
Hata the best Baca ya miaka ile haijaweza kufanya tulichofanya.
Tutajipanga na kurudi kama kawaida yetu.
Tofauti ya Real Madrid na Man city,Juve,PSG angalau Ronaldo alikua anawabeba sana ila misimu yote Real madrid ilikuwa ya kawaida sana UEFA rejea Galacticos ya kina Ronaldo na Beckham.Nafikiri vijana hawajui Real madrid ndio club bora katika karne hii....tatizo wanaangalia mechi moja...
PSG na Man city wangechukua na wao...hata man u nao wangechukua...club zote kubwa zinatumia pesa...tatizo linabaki kwenye ubora wa timu...ndio hapo madrid wanapokuwa bora
Ushahamu topic, umehamia kwa Ronaldo.Tofauti ya Real Madrid na Man city,Juve,PSG angalau Ronaldo alikua anawabeba sana ila misimu yote Real madrid ilikuwa ya kawaida sana UEFA rejea Galacticos ya kina Ronaldo na Beckham.
Sasa Ronaldo hayupo ndio tumepata fursa ya kuiona Real Madrid ikiwa yenyewe inakuwaje.... Ndio haya ya kufungwa na kina Sociedad et al.
Mmeona Ronaldo kaenda Juve kawabeba ipasavyo...... Money buys trophies. Madrid had money... Got Ronaldo.... Got trophies nothing new nothing special!!
Kiufupi Real ndio imezikwa rasmi msimu huu