Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wakisikia Real Madrid inatoa offer bei inakuwa ya kununua Airbus. Icardi ndio ulikuwa atue hii summer lakini board members wanaogopa drama za mkewe zinaweza kuathiri dressing room. All in all lazima aletwe mtu wa kutupia, with a toothless Gareth Bale, Benzema ndio goals scorer wetu. Benz is on fire kwa kipindi hiki, lakini huyu jamaa usimuamini sana, akianza kukosa zile open chances ndio utajuta kumfahamu.
 
Hichi kisingizio kila mtu anakitoa.

Kama ni hivyo wangemute hizi tetesi za kubembeleza hazard au neymar hadi uwanja ukamilike
Perez hajaishiwa ujanja ila kabadilisha strategy tu

Unafahamu kuna project kubwa ya kuuboresha uwanja wa bernabue?
 
Na muwe mnakuja pia tunapomgonga mtu 3-1 kama atletico na 27 tarajieni kilio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atletico alikuwa na injuries nyingi na penalty ya nje ya Box ndio iliharibu mechi otherwise hakuna faida kumfunga atletico alafu unafungwa na girona.

Atletico is now back on top of you!!.... Na barca akikufunga ndio atletico humpati tena let alone barca ambaye kimahesabu ndio ashakua bingwa.

Madrid ilikua Ronaldo toka ameondoka hivo vitoto vinaruka ruka tu.... Subiri mkikutana na Barca mtapigwa 5 zingine ndio utaelewa nachosema.
 
Daima mnatafuta visingizio kibao kama penalty kairudie ile yenu ya last match kama si refa mlidroo na nesi wenu aliyekosa ya pili. Kwenye last el classico tuliwadhibiti vilivyo na vijana wetu walikosa umakini mngekula zaidi ya tatu. Narudia tupo bora zaidi yenu kufungwa ni sehemu ya mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani amute?

Management ya Madrid imemuongelea Hazard au Neymar???? Au ni vyombo ya habari ndio vinaongea?
Hichi kisingizio kila mtu anakitoa.

Kama ni hivyo wangemute hizi tetesi za kubembeleza hazard au neymar hadi uwanja ukamilike
 
Summer naona kuna uwezekano wa kumpata hazard maana niangalia chance ya chelsea kushiriki uefa ikikosekana

Nafikiri huu pia ni wasaa wa perez kufanya biashara haramu kwa icardi kwa bei ya mbuzi kabisa
 
Back
Top Bottom