Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Second yellow for Ramos. Red card. Bad turns to worse for Real Madrid.
 
FULL TIME: Real Madrid 1-2 Girona.

Goal • Casemiro
Assist • Toni Kroos

Dzm-nHQW0AI_Gxk.jpg
 
Zama za Madrid ndo zipo ukingoni hata ajax wanakuja kumfungashia virago hapo hapo kitandani kwake
 
Najisikia fahari Sana Madrid inapogongewa kwenye kitanda chake mwenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
From hala Madrid to haha Madrid

Sent using Jamii Forums mobile app
Team imerejea hari yake ya kawaida kushinda ilikuwa upepo tu, hii ndio Madrid ya sasa, huruma kweli kweli
Zama za Madrid ndo zipo ukingoni hata ajax wanakuja kumfungashia virago hapo hapo kitandani kwake
Na muwe mnakuja pia tunapomgonga mtu 3-1 kama atletico na 27 tarajieni kilio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Real inamlenga mshambuliaji wa PSG na Brazil mwenye umri wa miaka 27 Neymar mwisho wa msimu huu hatua ambayo huenda ikaharibu mipangilio ya uhamisho wa mshambuliaji nyota wa Chelsea na Ubelgiji Eden Hazard.(Sunday Times - subscription required)
 
Neymar mzuri lakini naona tunae Vinicious ambaye anaendana kiuchezaji . Hapa nilitamani tumpate mtu goal score ambaye yupo fire hiki kipindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbappe maji marefu kwa sasa,hazard bora kuliko neymar. Vinicious apate mbadala ili yasije tokea ya utawala wa CR7,wengi walikua wanamlaumu CR7 kuitawala madrid wakati mfumo ndio uliompa chance hio.

Sawa kwa Vinicious ila sioni Hazard kama ataleta tija kubwa pale ilitakiwa kum-adjust kiasi tu Isco anaweza kuwa kama Hazard kama nipo sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isco tena!!huyu jamaa alitakiwa aweke bidii kwenye mazoezi badala yake akaweka bidii kwenye mipasho.kaisha mapema hadi huruma hope atarudi kwenye form yake.

Mbappe angekua ananunulika angeshakuja zamani,Perez wa sasa sio yule wa enzi zile,
Sio kila anaeipenda madrid anaweza angukia hapo,cheki neymar kuipenda kote madrid bado ngumu kutua santiago
Mbappe ananunulika isitoshe anaviashiria vyote vya kuipenda Madrid na pesa itarudi haraka sana akija.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isco tena!!huyu jamaa alitakiwa aweke bidii kwenye mazoezi badala yake akaweka bidii kwenye mipasho.kaisha mapema hadi huruma hope atarudi kwenye form yake.
Mbappe angekua ananunulika angeshakuja zamani,Perez wa sasa sio yule wa enzi zile,
Sio kila anaeipenda madrid anaweza angukia hapo,cheki neymar kuipenda kote madrid bado ngumu kutua santiago
Perez kalewa mafanikio ya timu kwa miaka 5 ya karibuni lakini alipaswa kuwanunua wachezaji waliokomaa wawili kuongeza nguvu. Nahisi hata board members wa timu wameshusha shinikizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom