Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,208
- 4,724
1 - 1 @ johan cruffy stadium
Mtoto halali na hela.
Tumewafunga kwa Uzoefu.
Ila wametusumbua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana.Game over mkuu, wameshambulia kichwa mkuki na presha zao wakapoteza possession. Ikapigwa counter attack moja, Reguillon with a long ball, Carvajal akawapeleka mbio, Asensio akamaliza game.
Ngonjera hizi. Si mlisema kukiwa na VAR Madrid haendi mahali, imekuaje tena?
Mkuu huyu ni wewe uliyeandika hivi.? Hahaaahata utetee kwa namna zote benzema hafai kuichezea madrid kwa sasa,tugoli huto unamsifia aiseee wewe jamaa hata kama anakulipa sio kwa mashauo hayo. Hao wote uliowataja hapo ni bora kuliko benzema,bwabwaja utakavyo ila benzema aondoke tu
He still have more time to learn new things and new tactics. Kina Ramos wamkomaze kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app