Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread


Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
27,539
Likes
11,820
Points
280
Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
27,539 11,820 280
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.

Stadium: Santiago Bernabéu, Chamartin, Madrid.

Club official website: Real Madrid CF | Official Website
 
Last edited:
Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
27,539
Likes
11,820
Points
280
Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
27,539 11,820 280
FULL TIME: Atletico Madrid 1-3 Real Madrid.

Goals
• Casemiro
• Sergio Ramos
• Gareth Bale

Assists •
Sergio Ramos •
Luka Modric

¡¡HALA MADRID!! 
Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
27,539
Likes
11,820
Points
280
Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
27,539 11,820 280
NEXT MATCH!

Ajax vs. Real Madrid
Wednesday, February 13 (21:00 CET)
Johan Cruyff Arena
Champions League

¡¡HALA MADRID!! 
Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
27,539
Likes
11,820
Points
280
Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
27,539 11,820 280
Sergio Ramos: “Atletico caused pressure early on. We put in an intelligent performance. No fear when it comes to a penalty. I enjoy the responsibility. It was an important moment for us, going up 2-1 at halftime. There is still a lot of points to play for.”

“We have to hope we can still fight for all 3 competitions. La Liga motivates us a lot. We have to continue fighting for this, though the leaders are ahead.”
 
M

Murashani GALACTICO

Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
66
Likes
41
Points
25
M

Murashani GALACTICO

Member
Joined Feb 27, 2012
66 41 25
Moja ya tukio lililoniacha nashangaa ni thomas partey anafanya foul refa anapuliza filimbi thomas partey bila ya kuangalia juu refa anaonesha nn ananyooka mwenyewe nje ya uwanja akijua ni umeme tayar.
This is Football aisee. Ushindi mtam aisee tulikuwa nafasi ya nane tulikuwa tumeachwa point kumi na saba hivi leo tunapumulia mru point tano hivi hadi february inaisha tutakuwa tunapumulia mtu point 2 tuu

Afu mtu anasema madrid imekufaa.
Madrid inapambana na hali yake kwa kuwapa vijana nafasi ya kucheza wengine wanasajili mizee....
 
Namuhi

Namuhi

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2016
Messages
907
Likes
836
Points
180
Namuhi

Namuhi

JF-Expert Member
Joined May 28, 2016
907 836 180
NEXT MATCH!

Ajax vs. Real Madrid
Wednesday, February 13 (21:00 CET)
Johan Cruyff Arena
Champions League

¡¡HALA MADRID!!Kiukweli kwa kiwango chetu cha sasa sina wasiwasi dhidi ya timu yoyote ile Ulaya na kwingineko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuhi

Namuhi

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2016
Messages
907
Likes
836
Points
180
Namuhi

Namuhi

JF-Expert Member
Joined May 28, 2016
907 836 180
Moja ya tukio lililoniacha nashangaa ni thomas partey anafanya foul refa anapuliza filimbi thomas partey bila ya kuangalia juu refa anaonesha nn ananyooka mwenyewe nje ya uwanja akijua ni umeme tayar.
This is Football aisee. Ushindi mtam aisee tulikuwa nafasi ya nane tulikuwa tumeachwa point kumi na saba hivi leo tunapumulia mru point tano hivi hadi february inaisha tutakuwa tunapumulia mtu point 2 tuu

Afu mtu anasema madrid imekufaa.
Madrid inapambana na hali yake kwa kuwapa vijana nafasi ya kucheza wengine wanasajili mizee....
Umeliona hilo. Waache walale wakija shtuka tumeshawasha gari na kusepa nalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
8,129
Likes
9,816
Points
280
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
8,129 9,816 280
January window watu walifikiri Perez angetoa milioni 500 kufanya usajili. Mi kila siku nasema kikosi chetu kizuri sijui tulikuwa tunakwama wapi. Huu moto ndio unaanza huko kwenye Champions League watupishe tu
 
Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
27,539
Likes
11,820
Points
280
Salamander

Salamander

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
27,539 11,820 280
- Isco Alarcón injury diagnosed as acute dorsalgia and cervicalgia.

Isco is expected to miss the first leg of the UEFA Champions League tie against AFC Ajax.

Real Madrid C.F.'s Official Statement : "After the tests carried out today by the Real Madrid medical services on our player Isco, his back and neck pain has been diagnosed as acute dorsalgia and cervicalgia,"

"His recovery will continue to be assessed."


 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
118,472
Likes
510,963
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
118,472 510,963 280
Humu shabiki pekee wa ukweli ni muanzisha uzi tu wengine mipasho miiingiii
 

Forum statistics

Threads 1,262,316
Members 485,560
Posts 30,120,613