Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

DxtZfyPXcAArhbp.jpg
 
I know its just 2 games and a very small sample size, but Real Madrid have brought back the joy since the Sevilla match. Players look more confident that they can beat their opposition and the goals are coming. Really proud of the boys.
 
Copa del Rey Quarterfinal 1st Leg Result

• Real Madrid 4-2 Girona
• Sevilla 2-0 FC Barcelona
• Getafe 1-0 Valencia
• Espanyol 1-1 Real Betis
 
NEXT MATCH!

Espanyol vs. Real Madrid
Sunday, January 27 (20:45 CET)
RCDE Stadium
La Liga

¡¡HALA MADRID!!

DxtaX4QVAAUtQzz.jpg
 
REAL MADRID BENCH:

• Luca Zidane
• Raphael Varane
• Toni Kroos
• Marcos Llorente
• Brahim Diaz
• Isco
• Sergio Reguilon
Brahim Diaz kakimbia bench la Man City,sasa hivi anapasha benchi la Madrid...
Mechi kama hizi alikua anaanza pale Man City,lakini sasa hivi anakalia tu ubao..!
 
Brahim Diaz kakimbia bench la Man City,sasa hivi anapasha benchi la Madrid...
Mechi kama hizi alikua anaanza pale Man City,lakini sasa hivi anakalia tu ubao..!
Inaonekana Madrid umeiangalia jana au unafatilia tu mitandaoni kinachozungumzwa then unaleta comments huku. Huyo V. Junior mwenyewe alipelekwa hadi timu ya vijana kwajili ya kujenga confidence. Kuna tofauti kubwa sana kati ya Madrid na Man City, usilinganishe bahari na bwawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri ubongo wako una shida kidogo..!
Ngoja nikuache tu (wewe ambaye huwa unaenda Santiago Bernabeu),tusijaze comments zisizokua na msingi kwenye huu uzi..!
 
Brahim Diaz kakimbia bench la Man City,sasa hivi anapasha benchi la Madrid...
Mechi kama hizi alikua anaanza pale Man City,lakini sasa hivi anakalia tu ubao..!

Win win situation, analipwa pesa kuiangalia Real Madrid inacheza
 
Back
Top Bottom