Atauzwa pauni milioni ngapi?
Bale majeruhi yalisha ua uwezo wake mkubwa wa kisoka nikikumbukia kazi aliyokua anaifanya kipindi anachezea Tottenham.
Marco Asensio ni propaganda tu za wahispaniola uwezo wake ni mdogo wahispaniola waliobaki ambao wanaujua kweli mpira ni Koke na Saul Niguez ukimuondoa Ramos na Carvajal wahispaniola wanaopata namba leo hii pale Real Madrid ni siasa tu.Cheki wahispaniola hawa wa Barca kama Jordi Alba, Busquets, Sergi Roberto na Nelson Semedo
Latin AmericansDah bora nikuache tu, hivi kama wahispania hawajui mpira wanaojua mpira ni nani Waengeraza au?
Atauzwa pauni milioni ngapi?
Bale majeruhi yalisha ua uwezo wake mkubwa wa kisoka nikikumbukia kazi aliyokua anaifanya kipindi anachezea Tottenham.
Marco Asensio ni propaganda tu za wahispaniola uwezo wake ni mdogo wahispaniola waliobaki ambao wanaujua kweli mpira ni Koke na Saul Niguez ukimuondoa Ramos na Carvajal wahispaniola wanaopata namba leo hii pale Real Madrid ni siasa tu.Cheki wahispaniola hawa wa Barca kama Jordi Alba, Busquets, Sergi Roberto na Nelson Semedo
Latin Americans
Watatizamia vilaza watakaongia kichwakichwa. Wakipata Premier League team wanaweza kujilipizia hasara zao.
Kina Asensio na Bale wangekuwa form ya juu Real Madrid ingekuwa top four toka mwanzo wa ligi, sasa mechi zaidi ya kumi na mbili tangu ligi ianze Real Madrid ipo mtaa wa saba huko zinakuaga Club mbovu zinazosindikizaga ligi miaka yote kimsimamo huku Dembele na Coutinho wameibeba timu kuwa vizuri kwenye msimamo wa ligi
Dembele kambeba nani mkuu na hata namba ya uhakika hana? au humuoni anvosugua bench?
Micheal Laudrup
Simone Inzaghi
Di francisco
Marcello Galardo
Hao ndio makocha wenye uwezo na ambao upatikanaji wao hautokua na shida yoyote. Wapo na wengine ila kiharaharaka ningumu kuwachomoa kirahisi kwenye timu zao.
Dembele, Coutinho na Malcom woote wanafanyiwa rotation, Isipokuwa pale Nou Camp ambae hawatafanyiwa/hawafanyiwi rotation ni Messi, Suarez, Busquets, Pique, Jordi Alba na Umtiti
Basi watafanya vile utakavyo
Kwani sh ngapi?inaonekanwa imekuuma vipi una udugu na Solari au?
Bro Mpira umezaliwa America ukakulia ulayaJinsi wahispania walivokua wananyanyasa watu kwenye ulimwengu wa mpira for the last 12 years mkuu hujashuhudia?
Need i say more?Dembele kambeba nani mkuu na hata namba ya uhakika hana? au humuoni anvosugua bench?