Jibu kwanza hao ndo tuendelee
Na Falcao ndie mpigaji wa Penalty Monaco.
Jibu kwanza hao ndo tuendelee
Mkuu ninaelewa unachomaanisha lakini ujue kila team ina utamaduni na utaratibu wake, kwa mfano kwenye club yetu Ramos amekuwa wa pili kwenye upigaji wa penalty wakati bado Cristiano yupo, kwa sababu sasa huyu jamaa hayupo Ramos ndio mpigaji wa kwanza kwasasa, na list ipo na inajulikana, na hii utambue kwamba hapewi tu kwasababu ni mkongwe ama ni captain, laa hasha ni kwasababu ana uwezo wa kupiga pia, so kama wew ni Madridista sioni kinachokufanya usielewe utaratibu wetu nini!!Jamaa anaboa. Strikers wanakuwa very underpressure wanapigiwa kelele wafunge, Na kubwa timu zengine wanawaachia mastriker wapige penalty. Sasa yeye anawzabia tu kibabe.
Mkuu ninaelewa unachomaanisha lakini ujue kila team ina utamaduni na utaratibu wake, kwa mfano kwenye club yetu Ramos amekuwa wa pili kwenye upigaji wa penalty wakati bado Cristiano yupo, kwa sababu sasa huyu jamaa hayupo Ramos ndio mpigaji wa kwanza kwasasa, na list ipo na inajulikana, na hii utambue kwamba hapewi tu kwasababu ni mkongwe ama ni captain, laa hasha ni kwasababu ana uwezo wa kupiga pia, so kama wew ni Madridista sioni kinachokufanya usielewe utaratibu wetu nini!!
Huyu Dogo atakuwa na impact kubwa sana huko mbeleni endapo ataendelea kupewa muda wa kucheza, ninachopenda kutoka kwa huyu kijana ni ile directness aliyonayo kwenye ku attack pia na confidence aliyonayo, ninashangaa ni kijana mdogo sana ila ana ujasiri kweli kweli na hicho kinamsaidia sana kupambana, Sitoshangaa kuona Dogo amempiga mtu bench kama akiendeleza hizi juhudi..IT MIGHT BE AN OWN GOAL BUT IT ALL STARTED FROM IT. DEFLECTION AND IT GOES IN THE GOAL. UNBELIEVABLE STUFF
THANK YOU THANK YOU THANK YOU VINCIUS JR!!!!!!
Rejea nilichokueleza mwanzo kuhusu utamaduni na tararibu za club husika, hii suala la Ramos kuanza kupiga penalty halijaanza leo, ina maana kuanzia kipindi cha akina Ancelloti alikuwa anangángánia hapo hakuna ukweli, ni kwamba ana uwezo wa kupiga pia, kama huo uwezo anao ni vizuri akawa anapiga pia, Kumbuka mpaka kwenye team ya Taifa ya Spain anapiga yeye pia na sio ameanza juzi, hata bado Iniesta yupo, kwahiyo hii inatoka na kuaminiwa tu na Kocha wako, kumbuka wanafanya mazoezi ya vitu mbali mbali ndio maana unakuta pia tuna wachezaji wanaopiga free kick katika maeneo mbali mbali hii inatokana na uwezo mchezji husika anaouonyesha katika mazoezi..Siamini kama anapewa, anang'ang'ania, Jamaa ana influence kubwa kwenye timu, Ndio mchezaji mkongwe na ni Captain. Hata Perez mwenyewe katikawatu anaowasikiliza nayeye yumo. Sasa anatumia advantage hiyo kung'angania utashi wake. Unahisi kabisa baadhi ya wachezaji wanakuwa hawana raha kabisa anapofukizia mpira.
Na ukizungumza uwezo Jorginho ni master kabisa kwenye upigaji Lakini hazard ndie anaepiga chelsea. Bonucci na Pijanic nao ni mamaster lakini Ronaldo na kabla yake alikua Dybala ndio wanaopiga. Jamaa ana matatizo yake binafsi tu, Anatafuta zile rekodi za konekanwa katika mabeki walio na magoli mengi sasa hilo ndilo lililomjaa kichwani mwake.
HatakuelewaRejea nilichokueleza mwanzo kuhusu utamaduni na tararibu za club husika, hii suala la Ramos kuanza kupiga penalty halijaanza leo, ina maana kuanzia kipindi cha akina Ancelloti alikuwa anangángánia hapo hakuna ukweli, ni kwamba ana uwezo wa kupiga pia, kama huo uwezo anao ni vizuri akawa anapiga pia, Kumbuka mpaka kwenye team ya Taifa ya Spain anapiga yeye pia na sio ameanza juzi, hata bado Iniesta yupo, kwahiyo hii inatoka na kuaminiwa tu na Kocha wako, kumbuka wanafanya mazoezi ya vitu mbali mbali ndio maana unakuta pia tuna wachezaji wanaopiga free kick katika maeneo mbali mbali hii inatokana na uwezo mchezji husika anaouonyesha katika mazoezi..
Una hangaika bure huyo jamaa ni kichwa tupuRejea nilichokueleza mwanzo kuhusu utamaduni na tararibu za club husika, hii suala la Ramos kuanza kupiga penalty halijaanza leo, ina maana kuanzia kipindi cha akina Ancelloti alikuwa anangángánia hapo hakuna ukweli, ni kwamba ana uwezo wa kupiga pia, kama huo uwezo anao ni vizuri akawa anapiga pia, Kumbuka mpaka kwenye team ya Taifa ya Spain anapiga yeye pia na sio ameanza juzi, hata bado Iniesta yupo, kwahiyo hii inatoka na kuaminiwa tu na Kocha wako, kumbuka wanafanya mazoezi ya vitu mbali mbali ndio maana unakuta pia tuna wachezaji wanaopiga free kick katika maeneo mbali mbali hii inatokana na uwezo mchezji husika anaouonyesha katika mazoezi..