Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #39,681
3 month ago: Presented by Ronaldo Nazario 📸
Today: Scored a goal ⚽
Future is bright. 🙌🏻
Today: Scored a goal ⚽
Future is bright. 🙌🏻
Huyu jamaa leo alikuja na idea kwamba Ramos na Värane hawatufai, eti wauzwe. Kwahiyo mwacheni tu mtaumiza kichwa bure
Kwani timu yako Juventus saa ngapi inacheza?
Mapema sanaMumpe team kabisa bwana solari wakuu
Duh we jamaaHivi uyu Ramos kwanini anapenda kung'ang'ania penalty? Si awaachie ma striker wapige alau wazidishe confidence na kupunguza pressure wanazopata. Jamaa anamatatizo aisee
Milner ni striker?, je fabinho akiwa monaco alikua striker?Jamaa anaboa. Strikers wanakuwa very underpressure wanapigiwa kelele wafunge, Na kubwa timu zengine wanawaachia mastriker wapige penalty. Sasa yeye anawzabia tu kibabe.
Duh we jamaa
Milner ni striker?, je fabinho akiwa monaco alikua striker?
Jibu kwanza hao ndo tuendeleeNeymar ni striker, Messi pia, Hazard, Ronaldo,Icardi, Aguero, Lewandoski, Higuan, Kane. Vipi tuendelee?