Bla bla blaaa kocha keshatimuliwa lets wait new one and see new progress
Nyie si ndo mlikua mnasema zidane anabebwa na kikosi alichokua nacho na kwamba hana mbinu etc etc today mnamsifia kuwa ni bonge la kocha duh jamaa anakuzoom ujueView attachment 915894
All in all umeongea pumba. Umejaribu kumdis ramos kiaina ili usionekane ronaldo hater ila hujafanikiwa. Hope hujageuka pacha wa isco
Tatizo ni Perez. Madrid inatakiwa kuvunja kibubu kusajili wachezaji vipaji kama utamaduni wa kila miaka.
Lazima uone pumba mana ndani ya bongo lako unahisi ushindi wa timu unaletwa na aliefunga goli, Unahisi aliefunga ndie anejua mpira kuliko yoyote mwengine.
Na Labda ungelipekua ukatuekea post yangu niliyowah zungumza hayo kuhusu Zidane.
Na mkuu hayo masuala ya hater na ronaldo ramos niyenu nyie watoto wakidigital. sidili na mabo yakipuuzi, Naifaham Real Madrid kwa karibu miaka 25 sasa kwaiyo nakifaham ninachokizungumza. Ila kwanyinyi mnaohisi Dunia imenza kuexisist baada uwepo wa Ronaldo na Messi sina ya kukwambieni juu ya ilo.
Na Perez ndio brain behind Real Madrid success Economical na Uwanjani pia. Ni binaadamu nayeye ana mapungufu yake hakuna aliekua perfect lakini Fact itabikia kuwa ndio hivo.
Nahilo suala la kuvunja kibubu ndio linalotembea kweye vichwa vyenu, Fikira zenu kwamba spending ndio itakayogerantii success na hilo sikweli kabisa. Hivi Real Wamebeba 3 champion league mfululizo ni spending kubwa gani waliofanya? hawa wachezaji wote walikuepo kabla kwenye timu. Man UTD wamespend karibu 700 pounds katika last 6 years je kuna kipi walichopata?Everton wamespand karibu 300 in last two years nini wamepata? kinachohitajika ni right spending na sio lazima iwe big spending. PSG wamelipa 220 kwa Neymar vipi mpaka saivi umeona dalili zozote za matunda yake?
Naona mmekua waandishi wa makala humu [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]another bruuuuuuh mkuu hata kama umeifahamu madrid miaka 100 iliyopita ila hakuna msimu ambao mchezaji mmoja kahama akapata diss anzia kwa baadhi ya wachezaji wenzie mpaka haters yaan mkikosolewa kitu mnakimbilia kumtaja.
Hebu chukua hii comment halafu tuendelee na mambo ya maanaView attachment 915998
Halafu wasema umeifahamu madrid miaka 23 kisha unasema hawakufanya spending misimu ya uefa miaka 3 mfululizo reallyyyy!!!aiseee ina maana hicho kikosi walichonacho hukuona spending eeh akina james etc mliwapata bure bure?vipi mishahara ya akina ramos haikuongezeka?
Epl na la liga wapi na wapi mkuu?unalinganisha timu za epl na ufaransa huko mbali unaiacha barca na atleco why? Daah dharau iliyoje R madrid kulinganishwa na everton hatujafikia level za everton mkuu(hii timu mara ya mwisho kukipiga UEFA ni lini)
Tunaongelea R madrid sio neymar na PSG. Anyway mbona hauongelei majiran hapo na mshahara mkubwa wa messi kwani huoni matunda yake? Nani asiyejua beckham alifata mshiko madrid enzi hizo timu imejaza mastaa wa kila aina. Pesa pesa tumia pesa ikutumikie
All in all sidhan kama anguko la madrid lipo kisa zidane no way,zidane hakuwa kocha wa muda mrefu kama Sir Ferguson pale man u.
Tuchukue msemo kata mti panda mti au miti. Wengi walitarajia usajili matata wa mshambuliaji kama mbappe baada ya matumaini ya kumnasa neymar kufa.
Naona mmekua waandishi wa makala humu [emoji16]
Hahah! mkuu pole sana naona Arsenal wapo vizuri msimu huu ila Madrid tena wanakuangusha [emoji16][emoji16]Alhamdullilah....[emoji1545]
Sisi sio wa kufirimbwa vile utadhani watoto wa sekondari yaani tunapoteana mazima.
Safari njema Lopetegui tunaonana mbele ya safari,Perez na wewe acha wehu sasa hii timu imezeeka sasa tunahitaji watu wa kuamsha morale iko siku na wewe utawekwa kikaangoni tu huu msimu umeyaleta majanga wewe mwenyewe umeruhusu nguzo mbili kuu kudondoka kibwege tu kisa kiburi chako.
[emoji16][emoji16]Jirani bana bana.
[emoji23][emoji23][emoji23]another bruuuuuuh mkuu hata kama umeifahamu madrid miaka 100 iliyopita ila hakuna msimu ambao mchezaji mmoja kahama akapata diss anzia kwa baadhi ya wachezaji wenzie mpaka haters yaan mkikosolewa kitu mnakimbilia kumtaja.
Hebu chukua hii comment halafu tuendelee na mambo ya maanaView attachment 915998
Halafu wasema umeifahamu madrid miaka 23 kisha unasema hawakufanya spending misimu ya uefa miaka 3 mfululizo reallyyyy!!!aiseee ina maana hicho kikosi walichonacho hukuona spending eeh akina james etc mliwapata bure bure?vipi mishahara ya akina ramos haikuongezeka?
Epl na la liga wapi na wapi mkuu?unalinganisha timu za epl na ufaransa huko mbali unaiacha barca na atleco why? Daah dharau iliyoje R madrid kulinganishwa na everton hatujafikia level za everton mkuu(hii timu mara ya mwisho kukipiga UEFA ni lini)
Tunaongelea R madrid sio neymar na PSG. Anyway mbona hauongelei majiran hapo na mshahara mkubwa wa messi kwani huoni matunda yake? Nani asiyejua beckham alifata mshiko madrid enzi hizo timu imejaza mastaa wa kila aina. Pesa pesa tumia pesa ikutumikie
All in all sidhan kama anguko la madrid lipo kisa zidane no way,zidane hakuwa kocha wa muda mrefu kama Sir Ferguson pale man u.
Tuchukue msemo kata mti panda mti au miti. Wengi walitarajia usajili matata wa mshambuliaji kama mbappe baada ya matumaini ya kumnasa neymar kufa.
Usigeuze maneno mkuu. Ishu niliosema nikua usajili wafedha kubwa haugerantee mafanikio. Huyo james unaemzungumza alisajiliwa kwa hela ndefu na akaishia bench.
Nasijalinganisha Real Madrid na timu yoyote, Nimekupa mifano tu ya Big spending ambazo hazijaleta matunda yoyote. Narejea palepale, Big Spending haiGreentree success yoyote, Ila inaweza kukutia hasara ukajuta kutumia zile pesa.
Na unapozungumza Kesi yakuwa kocha wa mda mrefu unachekesha mno. Je unaikumbuka Inter ilipoporomoka baada ya uondoko wa Morinho? Je Morinho alikaa miaka mingapi Pale? Je unakumbuka Real Ilipoporomoka baada ya Kuondoka kwa Del Bosque? Hivo vitu ni vakawaida kutokea kwenye football.
Unabishana na mtu ambaye hampendi Rinaldo kisa mafanikio ya messiNani kageuza maneno wakati mwenyewe umesema real haikuspend misimu mitatu. Ukaulizia neymar na psq kisha unakuja kujijibu hapa kuhusu james.
Mou kila anapoenda anajenga na kuharibu. Hizo historia za inter sijui wapi huko mpaka nikagoogle. Am R madrid and man u fan ndo maana natumia mifano ya timu hizi tu
So mkuu tusigeuzane waandika makala hapa. Kocha keshasepa,new one atatinga soon ili visingizio vya kulaumu kocha viishe
Nani kageuza maneno wakati mwenyewe umesema real haikuspend misimu mitatu. Ukaulizia neymar na psq kisha unakuja kujijibu hapa kuhusu james.
Mou kila anapoenda anajenga na kuharibu. Hizo historia za inter sijui wapi huko mpaka nikagoogle. Am R madrid and man u fan ndo maana natumia mifano ya timu hizi tu
So mkuu tusigeuzane waandika makala hapa. Kocha keshasepa,new one atatinga soon ili visingizio vya kulaumu kocha viishe
Man utd & Real Madrid fan
Umeisahau na Juventus, Sema tu kama wewe ni Ronaldo fanboy. 90 pecent ya mashbiki wa ronaldo ni Man UTD fans.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa unampenda basi tu kujitia hater.
Nani humu asiyejua kuwa am CR7 diehard fan.
Ile ID yako nyingine ilishajaribu kunifukuzia juve nikagoma naona umerud upya bwahahaah. Tutabanana hapa hapa