Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #39,381
Disaster of truth
Hapa nimejaa upepo hatar sana manina...jezi imekuwa nzito mwiliniMy heart broken to see Real Madrid became a mid table mediocre side
😛😛😛😛Jirani nilikwambia aisee brother luka maduara alishajiandaa kisaikolojia maana kuna muda nilikuwa namtafuta wakati dogo arthur anagawa chakula kumbe kajificha yani kawanawisha mikono halafu akawa anafanya sergio yule mupe,rakitic huyo mupe huku huyo kroos muruke ameshikilia jungu la msosi...casemiro kalizimisha sana kutaka nae awe muandazi lakini mambo yakawa sio mambo dogo kafanya unyangindo mbele ya mademu zenuAngalia tu usije ukamakataa, team yetu haipo poa sana ila huyo dogo ni mapema sana kumlingnisha na Luka Modric
Hahaaaa si uvue mkuu, lkn sababu gani zilikufanya uamini kama mtashinda wakati mmefamya vibaya match nyingi sana msimu huuHapa nimejaa upepo hatar sana manina...jezi imekuwa nzito mwilini
Hivi hakuna kanuni kwenye mikataba ya wachezaji na kocha kukatwa mishahara endapo watapoteza michezo kadhaa kwa mfululizo?