Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #39,301
HALF-TIME: The Catalan 2-0 Real Madrid.
Coutinho ⚽
Suarez ⚽
Coutinho ⚽
Suarez ⚽
Naunga mkono hoja,Bado naamini uwezo wa kocha kwa timu kubwa ya madrid ni mdogo sana...lakin pia tunahitaji wachezaji nafas ya ushambuliaji kiwango cha dunia...
mkuu kwa mtazamo wangu leo Nacho hayuko vyema, na Lukas ni kijana mbishi haogopi jina la mchezaji. Ni sub nzuriHii sub ni hovyo kwa mtazamo wangu...toa Nacho ingiza Lucas ambaye huwa anaweza kukaa upande ule
Tulia dawa ikuingiepita kule, goli zitarudi tu hizo
nadhani umeanza kukuingia, sasa tulia hivyo hivyo muone kaziT
Tulia dawa ikuingie