Mkuu ucjipe moyo sana ronald angekuep kwny hz game angewez kubdl matokeo hata kama uko juv ana bao 4 mpaka sasa ila kumbuka kule ni sehem mpy kwak na bhado anaonesha kwmb anawez ila madrid yetu hi ya sahv game 4 mfululiz awajaona goli maombi muhm
HahaaaHii sio team ya kupigwa kirahisi sasa hivi
Wapinzani watapata sana tabu
unaongea utoto mpk una boa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hii kitu hamna... At Madrid only winning is enough... Timu yetu ni nzuri sana... Sio ya kukaa dakika 700 haijafunga goli...Binafsi naona msimu huu ni msimu wa kujipanga na kujianda na msimu ujao, sioni tukinyanyua kwapa this season.
Tena ana goli 4...assist 4...key passes za kutosha na ame create big chances 5...sio hzi takataka zetuu
mkuu usilazimishe maoni yako ndo yawe kweliHata Real pia inajikita kwenye mfumo mpya na kocha mpya, kwaio pia time of adopting inahitajika. au hamujaliona hilo? Uandokaji wa Zidane ni Pigo kybwa kwa Real Kuliko Ronaldo kwa sasa.
Kwahisabu zako kimakaidiro angekua tayari ana goli zaidi ya 10 saivi. kwaisabu ya angekua anfunga moja moja tu kila mechi. Lakini pia kumbuka msimu aliomaliza mpaka mzunguko wa mwanzo unakatibia kumaliza alikua ana magoli ma 4. Kwaio maelezo yako hayaleti gerentii.
Ila nakubali kama Real Wangelipewa Leo Messi basi hata goli 15 tunagekua tunakaribia kuzihesabu.
Tena ana goli 4...assist 4...key passes za kutosha na ame create big chances 5...sio hzi takataka zetuu
We're just passing and passing... There are no players making runs behind the defenders... Bale plays with his back to goal waiting to receive the ball and turn... Benzema drops wide and deep to link... Asensio drops too deep pia... There are times tunakuwa tunacheza kama hatuna 9...yani so poor so so poorThe mistake is in the tactics . we pass the ball for whole 90 minutes, or we play a long ball from centre circle and no creativity at all . Kroos playing so deep throughout the game . 600 minutes, no goal no penetration. We're in big crisis right now
Hilo nalo ndio linanishangaza kweli kwa nini hatufungi wakati wachezaji wazuri wengi tu, je ni tak tik za kocha au ni nini??[emoji1] [emoji1] [emoji1] hii kitu hamna... At Madrid only winning is enough... Timu yetu ni nzuri sana... Sio ya kukaa dakika 700 haijafunga goli...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu sihitaji ku prove kwako kama mimi ni mshabiki wa Madrid...napenda mpira in general... I can even watch a Sassuolo vs Sampdoria game na nika enjoy... Ronaldo kuondoka Madrid haimaanishi ndo nisiangalie mechi za timu aliyoenda... Naipenda sana Madrid... Lakini huwezi kuta naongelea ushabiki... Kwenye ukweli ntasema ukweli... Kama tunazingua ntasema... The demands at Madrid are so big... There no excuses...Wewe simshabiki wa Real. Nenda huko Juve kama wenazako wape tele wameshatangulia.
mkuu usilazimishe maoni yako ndo yawe kweli
huyu mhuni perez alifanya kosa la kiufundi kumuuza Ronaldo.
Mkuu mimi hata sikuelewi kwann unamchukia na kutotaka kumu appreciate Ronaldo... Even mchango wake kwenye timu... But keep hating broooAssist za kababatizana kwa mashuti !!!!kamtizame Hazard na Leo Messi wanavotoa assist.
we ni mwanachama wa Madrid?Perez ndie main brain behind Real Madrid Success. Huwezi fahamu ilo wewe Tuulize sie wadau wa Real Madrid.
Kwasasa aendelee kupambana na kesi zake mana nasike kabaka uko.
Na madrid nay ni dominting club pia iltakiw iwe inafunga sana
Huyu jamaa ana chuki tu na Ronaldo na hana sababu ya maana kutetea chuki yake.Mkuu mimi hata sikuelewi kwann unamchukia na kutotaka kumu appreciate Ronaldo... Even mchango wake kwenye timu... But keep hating brooo
HahahahMkuu mimi hata sikuelewi kwann unamchukia na kutotaka kumu appreciate Ronaldo... Even mchango wake kwenye timu... But keep hating brooo