Ni good news defensively yes, lakini kwenye kusaidia idara ya ushambulizi kutapungua, kumbuka game zetu nyingi full backs wana play role kubwa sana katika upande wa ushambulizi, lets hope mambo yataenda poa....#HalaMadrid!!

Mkuu hii game ni tofauti sana, we need some defenders who can sit on our half for 90 minutes. Kumbuka Sevilla wametupiga counter attack 2 game yote ikabadilika. Na hawa ndio game wanayokuja nayo leo
Hadi dakika hii hatujacheza vzuri...tunacheza kama tupo ugenini...timu haijatulia...tunaacha sana holes wakat ukiangalia ATM hawa kila mpira ulipo watu wawili au watatu wameshafika...