Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Maelezo mjalabu mkuu
 
Naamini katika kocha wetu mpya ..naamini madrid tutaonesha kitu cha tofauti , vijana wanacheza kwa adabu kujituma ,napenda timu kwa sasa tunatengeza chances zaidi katika lango la adui win or lose tuendelee support club yetu #halla madrid .y nad mas
 
hatuwezi ku fika popote kwa kikosi hiki tume kua na mazoea kwenye kaz
 
Sasa mkuu kwa mtazamo wako unataka Real Madrid walete kikosi kingine au nini kifanyike?
hatuna striker wa maana mpambanaji form ya Benz haieleweki mpk sasa Bale nae trip shamba trip garage Asensio bado sio wa kumuamini 100% backup ya Ramos haipo I thought James Rodriguez anarudi imekua tofaut , Kweli mm bado nna mashaka na squad yetu ya msimu huu
 
Benzema tatizo lake anakosa sitter nyingi, lakini kwa style of our play yule muache palepale. Anatengeneza nafasi nyingi tu na connection yake na viungo iko poa. Hata akija striker mwingine ategemee kucheza half kwasababu nawaona Asensio na Bale are on fire
 
Courtois joins Madrista for 38£ million
Bora aisee Man U walitaka kutupiga 200£ million kwa De Gea
 
Courtois joins Madrista for 38£ million
Bora aisee Man U walitaka kutupiga 200£ million kwa De Gea
Matobo kama yote!

Hiyo bei ni kwasababu ya contract yake ilibaki mwaka mmoja. Tofauti na hapo ilikua sio chini ya 120!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…