PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,268
- 22,147
The window is still open, lakini sor far bado nina imani na kikosi chetu. Built up with full young talents hata akija striker mwingine itakuwa ni kuongeza nguvu tu. Hata hivyo kuna wachezaji na vipaji lakini bado watakosa nafasi, Julen Lopetegui ana kazi kubwa sana ya kufanya maamuzi