Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,566
Zidane na Ronaldo kuna kitu kimewatoa pale....
Kovacic aondoke tu kuliko kukaa bench
Kovacic aondoke tu kuliko kukaa bench
Sure, its tym to gve a chance to odergard na cabellos madogo wana talent sn, huyu vinicius jr bado sijamuelewa naona km hatukujpanga vzur kwnye kumsajiri....Sell Benzema sell BALE tuanze upyaThat's what I'm talking about, give the youngsters a chance, and we create a new era.
Huyu Dogo atakuja kuwa mtamu sana hapo baadae.., kasi yake inahitaji mchezaji aina ya Mbape..., ninajaribu kucheki vitu anavyofanya kwenye mazoezi ni noma sana kiukweli., hope hatakuwa muumini ya kuparty kama Wabrazil wenzie.., [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]Official | Vinicius Jr. will be presented tomorrow, Friday July 20, at 12:30 CET at the Santiago Bernabéu stadium.
Sure, ni time ya kuwapa vijana wetu nafasi, Dani ameimarika sana kwasasa, ninadhan atapata nafasi hapo msimu huu., kuhusu Martin ngoja tuone Coach atafanya maamuzi gani juu yake japokuwa ninatamani abaki, Benz akiuzwa ni poa tu , msimu uliopita alikuwa na kesi ya uzururaji, ila kwa Bale asiuzwe msimu huu, kuna umuhimu sana kuwa na kiongozi na mtu mwenye uchu kwenye kufunga mpaka hawa vijana wakomae..Sure, its tym to gve a chance to odergard na cabellos madogo wana talent sn, huyu vinicius jr bado sijamuelewa naona km hatukujpanga vzur kwnye kumsajiri....Sell Benzema sell BALE tuanze upya
Huyu Dogo atakuja kuwa mtamu sana hapo baadae.., kasi yake inahitaji mchezaji aina ya Mbape..., ninajaribu kucheki vitu anavyofanya kwenye mazoezi ni noma sana kiukweli., hope hatakuwa muumini ya kuparty kama Wabrazil wenzie.., [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]