Uzi kudoda pia unachangiwa na mijadala ya kupotosha na isiyo na maana. Kuna wengi humu wanaamua kutochangia wala kusoma ili kulinda afya za vichwa vyao. Threads za Premier League ndio wamezoea ya vijiweni.
If we do need to start afresh we need to ackowledge Cr 7 is our pastNdo nataka kukuonyesha kuwa cr7 hana nguvu kubwa ya kukwamisha timu kama messi. R hana mamlaka ya kupanga kocha amtakae,hivyo sio threat kwa maendeleo ya timu
Hapo ni kumpigia ramli mbaya kwamba ataisha kabisa,yeah ataisha ila sio saiv.
If we do need to start afresh we need to ackowledge Cr 7 is our past
This is what am telling you
Kujiuzulu ghafla tena katikati ya mafanikio halafu unasema utashi wake. Labda yuseme ni busara yake inatoshaNi busara ya vijiweni yakiishia vijiweni tu. Hakuna aliyempangia Zidane chochote, ni utashi wake mwenyewe. Subiri msimu ukianza utamuona klabuni akiwa na role nyingine tho not formal.