Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,566
Sisi tumezoea presha na kucheza kwa presha. Mara zote dunia huwa against us, kipindi twacheza na Atletico kuna watu hawakupenda na waliipa matumaini Atletico, Mungu mkubwa dakika ya 93 Ramos akasawazisha tukawaua bila penati.
Paaap paaap Atletico huyu hapa, kaja na hasira, dunia nzima ikimpa ushindi. Penati tukawaua.
Akaja Juve, hapa kila mtu aliongea lake, wale wenye chuki na wanaosema huwezi beba consecutive Buffon alishangaa Casemiro alivyomshangaza, hajatulia Ronaldo, hajatulia Asensio.... Dunia wakaaa kimya.
Leo tunakutana na Liver kelele ni zile zile, wanasahau presha tulizopitia, Bayern, PSG, juventus, Tottenham......
Majogoo ni very light na hawajazoea presha kama sisi