Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

The game wont be tough any how, Liverpool is a good, Real Madrid is the best Team.
Recently the Uefa trophy belongs to us.
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Mkuu nimependa ujasiri wako, ninajitahid kuwa jasiri ila wapi!! Muda unavyosonga mapigo ya moyo yanaongezeka., ninadhan kiwewe kitaisha game itakavyoanza na nikaona utulivu wa team, Hapo kidogo nitatulia!!
 
Leo tunakatisha uonevu wa Madrid kwa timu nyingine,Leo barca,juve,Munich, na wengineo waangalie kitu LiVERPOOL tutakachomfanya real Madrid,hawatokaa waamini maisha.
 
Superstition or lucky charm?

[author unknown]

DeBrWX4UwAEgKQd.jpg
tofauti ya hizo picha ni hii.

hiyo ya mwisho wamesimama wakati zilizo baki wanatembea. Kitu kinacho acha ujumbe fulani..!
 
Leo tunakatisha uonevu wa Madrid kwa timu nyingine,Leo barca,juve,Munich, na wengineo waangalie kitu LiVERPOOL tutakachomfanya real Madrid,hawatokaa waamini maisha.
Acha kujifariji ilihali wewe ni mnazi wa barca na unajua madrid inachukua kombe
 
Japo ni game ya final ambayo kila timu inakua na win-win situation lakini ukweli unabaki kua team 3 za mwisho tulizozitoa ni timu bora kabsa kwa Liverpool kwa kila kitu, kwa hiyo the final score today belongs to us
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Mkuu nimependa ujasiri wako, ninajitahid kuwa jasiri ila wapi!! Muda unavyosonga mapigo ya moyo yanaongezeka., ninadhan kiwewe kitaisha game itakavyoanza na nikaona utulivu wa team, Hapo kidogo nitatulia!!
 
Kila mmoja atatarajia mashambulizi makali zaid kutoka Liverpool wakati wa fainali la klabu bingwa Ulaya lakini kile hatufahamu ni jinsi Real Madri itakabiliana na hali hiyo.
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp hana nia ya kubadilsha mbinu za kikosi chake cha 4-3-3 kwenye mechi ya leo Jumamosi na kama kutakuwepo na majeraha inamaanisha kuwa hatakuwa na mbinu tofauti pia wa wachezaji.
Kwa upande mwingine meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane ana maauzi makubwa ya kufanya kuhusu ni yupi anayamweka kwenye kikosi cha mechi ya Kiev.

Zidane amekuwa na nyakati msimu huu ambapo kikosi chake kimekuwa na wakati mgumu hasa Ulaya lakini licha ya hilo amefanikiwa.
Ameifikisha Real fainali sio kwa kuangazia pande moja lakini kwa kuwasoma sana wapinzani.
Kwa kufanya hilo na kubadilisha jinsi Real wanacheza kutokana na ni nani wanacheza naye, ameonyesha kuwa sio kocha anayetuma kikosi chake na kukiambia kucheza vile wanacheza licha ya wachezaji wazuri alio nao.

Real lazima iwakabili vilivyo washambuliaji watatu wa Liverpool
Moja ya vita vikali zaid vitakuwa kutoka Mohamed Salah ambaye ni mshambuliaji hatari zaidi duniani dhidi ya mlinzi wa Real Mbrazil Marcelo.
Marcelo ni muhimu sana kwa Real lakini kumwezesha kucheza vizuri zaidi bila ya kuiacha safu ya ulinzi na hatarai kutoka Liverpol ni jamboa litasababisha Zinade kuamua mfumo ambao atautumia.

Amekuwa mwangalifu akicheza na timu ambayo hucheza kwa kushambulia kwa ghafla kama Liverpool na huenda akaitumia mbinu sawa na hiyo.
Zinade pia huenda akafikiria kuwa ikiwa Marcelo atacheza mbele ataupa upande wake ulinzi zaidi akisaidiana na safu ya kati kama Mateo Kovacic na katika mfumo wa 4-4-2 sawa na alivyofanya wakati wa duru ya pili ya ushindi wake dhidi ya PSG.
 
Safi mkuu
 
tofauti ya hizo picha ni hii.

hiyo ya mwisho wamesimama wakati zilizo baki wanatembea. Kitu kinacho acha ujumbe fulani..!
Bado picha zinafanana hasa position ya kila mmoja,tofauti niliyoona Casemiro amecheka zaid kwenye picha ya kiev.Huyo ndo ataufanya mpira uonekane mrahisi sana leo
Pia kusimama inaonesha wamefika walipotaka kwenda maana walikuwa wanaelekea KIEV
 
It doesn't matter if you win the trophy or not, what matters is how you will walk out of that place when all is said and done.

33458772_2005799026111514_1728034186935140352_n.jpg
 
Back
Top Bottom