Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

So far tumekaa bao 2, mpira ni mapummapumziko .
 
Kuna kila sababu club iangalie tena hawa vijana., ni wazuri ila wanakosa ule ukomavu wa kupambana, sijui bench limewaua ama ni nin!!
 
Fact: last 6 away games against Sevilla, Real Madrid won only one .
 
Tuna mlima mrefu sana wa kuupanda, ukizingatia na hali ya foward yetu basi hali inakuwa ni tete zaidi


Mkuu, hii timu imenitesa sana msimu huu. Hii summer Zidane aingie tu dukani , maana hakuna namna.
 
Hivi Nyie Mmorocco Madrid mumeshapata Habari Maangamizi aliyoyafanya Barca?
Naona Nyinyi Sasahivi Munaendelea Kupapaswa Makalio!!!
 
Pumbavu acheni kubutua butua, on target hadi sasa ka moja tuu


Nnawasiwasi mtapigika na liva
IMG_20180509_234618.JPG
 
Pumbavu acheni kubutua butua, on target hadi sasa ka moja tuu


Nnawasiwasi mtapigika na livaView attachment 771903
Wew unadhani kile kikosi cha jana ndio watacheza na Liverpool!? Kama unsubiri hilo suala litokee, ugua pole., jana Zidane aliamua tu kuwapa vijana wake nafasi tu ya kucheza, hata hivyo game yenyew haikuwa na mashiko.., sie tunjiandaa tu na hao Liverpool wenu.
 
Real Madrid starting XI : Keylor; Achraf, Varane, Nacho, Marcelo; Casemiro, Modric, Kroos; Isco, Bale, Benzema
 
Back
Top Bottom