G_crisis
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 723
- 244
Mawili kabisaRonaldo amekosa goli la wazi kabsa
Mawili kabisaRonaldo amekosa goli la wazi kabsa
Mbona kipa kacheza hiyo, au kipa haesabiki mpaka liwe la wazi?Ronaldo amekosa goli la wazi kabsa
Unamtetea Ronaldo?Mbona kipa kacheza hiyo, au kipa haesabiki mpaka liwe la wazi?
kwa nini husemi namsifia Ter Stegen? Kacheza moja, na kuna moja imeenda wide kidogo ila ongekuwa kwenye target kipa angeichukua! naangalia mpira na hamna goli la wazi alilokosa!Unamtetea Ronaldo?