Dah habarini humu madridista wenzangu.. nilipotea majuma kadhaa kutokana na mambo yaliyo nje ya uwezo wangu. Lakini nafurahi mwenendo timu UCL kule tumeweza waziba midomo haters.

Good News indeed.., Nacho atatusaidia sana kwenye beki ya kulia, japokuwa itabid apewa Vasquez amsaidie kukaba, sababu jamaa kwa kushangaa tu hajambo...
Madrid fans msiwe na hofu leo tunawakalisha hawa wajerumani tunaenda zetu final na mwali tunambeba kiulainii, hatuna cha kupoteza. Historia inatengenezwa tena.