Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

HT:timu imecheza vizuri sana...Isco disco ametawala sana kati kuelekea mbele akishirikiana vyema na modric,kroos na mlinda beki cas....tumetulia sana...timu ikiwa na mpira unaoana kabisa haina papara na ipo makini katika kitoa pasi...mapungufu ni kidogo haswa kwa mchezaji binafsi ambaye ni benzema...akipata mpira hajui afanye nini,nafikiri sub yake akiingia Lucas au Ansesio siyo mbaya...ila hadi hapa timu imetawala vyema...
Aaah
Nothing goods go came out of Benzema oo! He is the weakest link of the team
 
Watuondolee Benzema, mipira anayopoteza atatufungisha
 
Mnyama mchezaji wa kwanza duniani kufunga mechi10 za champions league mfululizo.vyuma 15 wataelewa tu. Wahuni sio watu wazuri.
FB_IMG_1522785241726.jpg
 
Back
Top Bottom