Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,051
Juventus anashinda tatu moja
usibanduke asante kwa kukaa nasiMadrid anatoka
Eeh anatoka robo fainali kuelekea nusu fainaliMadrid anatoka
Dzain aliwekewa mguu ivvKina Dybala wana-dive kama wapo kwenye maji .
Hahaha naona jamaa anajifarijiEeh anatoka robo fainali kuelekea nusu fainali
Team ushindiHT:timu imecheza vizuri sana...Isco disco ametawala sana kati kuelekea mbele akishirikiana vyema na modric,kroos na mlinda beki cas....tumetulia sana...timu ikiwa na mpira unaoana kabisa haina papara na ipo makini katika kitoa pasi...mapungufu ni kidogo haswa kwa mchezaji binafsi ambaye ni benzema...akipata mpira hajui afanye nini,nafikiri sub yake akiingia Lucas au Ansesio siyo mbaya...ila hadi hapa timu imetawala vyema...
