Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hoja kwa hoja nyuma chujio....ana magoli mengi lakini mko nafasi ya tatu
Wakati Ronaldo ana goli 4 Messi 16 mlipiga kelele kila siku list ya top scorer mki highlight Jina la beast, mmeona mwanaume Feb inaanza goli 4 March inaisha kamba 22 " my skills, my commitment, my focus, my discipline " the only CR7 pigeni kelele tenaaaaaa
 
Kwani wakati Messi anafunga alikua wapi?au alikua amelala?
Kufunga mwanzo ,katikati au mwisho ni same thing
Kwahiyo Ronaldo unataka kuniambia alikua anaumia kwa sababu Messi alikua ame score goli nyingi

Tunaangalia significance ya goals Messi magoli yake mengi this season yamekua decisive thats my point fan
 
Alipigwa ban 5 games Unajifanya ume sahahau
 
Kwani wakati Messi anafunga alikua wapi?au alikua amelala?
Kufunga mwanzo ,katikati au mwisho ni same thing
Kwahiyo Ronaldo unataka kuniambia alikua anaumia kwa sababu Messi alikua ame score goli nyingi

Tunaangalia significance ya goals Messi magoli yake mengi this season yamekua decisive thats my point fan
Wakati messi anafunga yy alikuwa amefungiwa mechi 5 kama cjakosea ila ukitaka significance ya magoli yake tafuta takwimu utaona halaf ndo urudi hapa
 
Ronaldo anaongoza kufunga useless goals kwenye laliga
Team yake iko nafasi ya tatu ila ana goli 22 (the guy is so selfish)
Hoja kwa hoja -significance ya magoli yake iko wapi?
Sasa hii sijui tuite ni wivu, ama kujisahau, ama ndio mmekosa cha kuongea kwasasa!? Last season tulichukua La Liga, na Ronaldo hakuwa mfungaji bora., Vp aliyechukua kiatu na yeye kilimkumba nin!? mbona hakuchukua Kikombe while alikuwa mfungaji bora!?
 
nilitaka kumuuliza same question,

ila naona tu jamaa kaamua kuja kutafuta mtu wan kubishanana nae huku... mara nyingi huwa tuna wa ignore tu..
 
Hoja kwa hoja nyuma chujio....ana magoli mengi lakini mko nafasi ya tatu
Kuwa nafasi ya tatu ndio significance yenyew, kwasababu kabla ya hapo tulikuwa nafasi ya 4, na sasa tupo ya tatu tena nyuma ya Atletico Madrid kwa point 4., kwahiyo kama team ilikuwa haifungi especially CR7 tungekuwa tunapigania nafasi ya Europa akina Villareal huko..,
 
nilitaka kumuuliza same question,

ila naona tu jamaa kaamua kuja kutafuta mtu wan kubishanana nae huku... mara nyingi huwa tuna wa ignore tu..
Tunawajibu siku moja moja, sababu ukiacha ipite tu hiv hiv anaweza kujustify comment yake kuwa ni kweli.., asubiri tu ligi bado haijaisha, ataelewa hizi goli zina impact gani huko mbele..,
 
mtu mbaya kawakuta jamaa wanapimana ubavu wao kwa wao
FB_IMG_1521475757599.jpg
 
Tetesi

Nahosha wa Paris Saint-Germain Thiago Silva anasema kuwa ana hakika kwamba mshambuliaji wa Brazil Neymar atasalia katika klabu hiyo, licha ya mchezaji huyo kuhusishwa na uhamisho wa kwenda Real Madrid.(Canal+ via ESPN)

Real Madrid imekubali mkataba wa kumsajili mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski, 29, kutoka Bayern Munich msimu ujao . (Mundo Deportivo - in Spanish)
 
Cristiano Ronaldo alifunga hat-trick yake ya 50 tangu aanze kucheza soka ya kulipwa huku Real Madrid ikiilaza Girona na hivyobasi kupanda hadi nafasi ya tatu katika ligi ya La Liga.
Ronaldo alifunga krosi ya Toni Kroos lakini kichwa cha Cristhian Stuan kilifsawazisha na kufanya mambo kuwa 1-1
Real hatahivyo ilichukua uongozi kufuatia shambulizi kali la Ronaldo kabla ya kumpatia krosi Lucas Vazquez aliyefunga bao la tatu na hatimaye nyota huyo akakamilisha hat-trick yake.

Stuani alifunga bao la pili la Girona, Gareth Bale alifunga la tano , kabla ya Juanpe kuifungia Girona bao la tatu lakini Ronaldo alipata bao lake la nne na la sita katika muda wa majeruhi.
Matokeo hayo yanaiweka Real Madrid juu ya Valencia lakini wako pointi nne nyuma ya Atletico Madrid ambao walilazwa 2-1 na Vilareal.
Real wako pointi 15 nyuma ya viongozi wa ligi Barcelona ambao walishinda 2-0 dhidi ya Athletico Bilbao siku ya Jumapili
 
Mshambuliaji wa Ureno na Real Madrid Cristiano Ronaldo aliwahakikishia wenzake wa Real Madrid kwamba atashinda taji la mfungaji mwenye mabao mengi katika ligi ya La Liga licha ya Messi kuwa na mabao 11 zaidi ya yake. (Marca)

Barcelona, Paris St-Germain na Real Madrid zinataka kumsajili mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah , 25 kwa dau la uhamisho litakalovunja rekodi la £200m. Raia huyo wa Misri amefunga mabao 28 katika ligi ya Uingereza msimu huu. (Sun)
 
We numbisa kila Forum nakuona
 
SUPASTAA wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amerudi kwenye ubora wake. Staa huyo wa kimataifa wa Ureno anatupia tu.

Watu walimwona kachoka mwanzoni mwa msimu, lakini ghafla tu amebadili kibao na sasa amekuwa tishio kuliko neno tishio lenyewe. Mreno huyo amefunga mabao 21 katika mechi 13 alizocheza tangu mwaka huu wa 2018 uanze. Katika mechi za La Liga tu, mshindi huyo mara tano wa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Dunia amefunga 17 katika mechi nane tu. Ukitaka hesabu za jumla kwenye michuano yote amefunga mabao 37.

Kwa rekodi hizo za Ronaldo za kupasia mipira nyavuni tangu mwaka huu uanze, amezifunika klabu kibao vigogo kwenye Ligi Kuu Tano Bora za Ulaya, ambazo hazimuwezi Mreno huyo kwa mabao yao waliyofunga kwenye ligi.
 
Back
Top Bottom