HiiiNapata sana wasiwasi na hii defence yetu wakuu kwenye Uefa champions league cjui itakuaje ila mbele tuko poa sana.
Hiii
Tukienda ku defend hivi kwa juve
Tuna umiaaa
Yaani huu ukuta ndio utakaotukosesha UCL mwaka huu.Real Madrid wana magoli ya kufunga (73) merely sawa na Barcelona (74) wanaoongoza ligi na hii inaonyesha kuwa forward za hizi timu ni kama zimelingana kwa makali, lakini Real Madrid wamecocede magoli 33 sasa na Villarreal na Athletico Bilbao na hii inamaanisha kuwa Real Madrid wana ukuta mbovu kama wa hizo timu ambazo ziko namba 6 na nyingine 13 katika msimamo wa ligi
Nakubaliana na wewe mkuu.Real Madrid wana magoli ya kufunga (73) merely sawa na Barcelona (74) wanaoongoza ligi na hii inaonyesha kuwa forward za hizi timu ni kama zimelingana kwa makali, lakini Real Madrid wamecocede magoli 33 sasa na Villarreal na Athletico Bilbao na hii inamaanisha kuwa Real Madrid wana ukuta mbovu kama wa hizo timu ambazo ziko namba 6 na nyingine 13 katika msimamo wa ligi
Naona suarez katoka tayari kwenye nafasi za watu.
Kwenye UCL tunakuwaga na team tofauti kabisa, vijana huwa wanajituma kweli kweli, So hata kwa Juve team itukuwa ya tofauti sana, PSG hawakuamini team mbovu ya Madrid waliyokutana nayo,Usiogope man, uliona Paris. Timu nzima ina-defend. Leo Carvajal alikuwa off, na Nacho nae uwaga simuani 100%
Team yetu inafungika, tumemekuwa na ukuta unaopitika kirahisi sana., ila inategemea na aina ya team tunaycheza nayo., Juve watakua wanatushambulia kwa timing, na hapa ndio wakapoumia., wakitaka kutushinda basi watakiwa watushambulie mwanzo mwisho kitu ambacho hawataweza...,We scored 6 but conceded 3.
Girona’s first season in La liga is one of a dream and they’ll get Europe but we defended set pieces dreadfully.
The one team that doesnt give up attacking and defending even in the 90th minute? Juventus, our next opponents in the UCL.
Kwani asingekuwa anafunga, Real hata hiyo nafasi ya tatu wangekuwepo? Pia significance yake utaiona kwenye UCL.Ronaldo anaongoza kufunga useless goals kwenye laliga
Team yake iko nafasi ya tatu ila ana goli 22 (the guy is so selfish)
Hoja kwa hoja -significance ya magoli yake iko wapi?
Hoja kwa hoja nyuma chujio....ana magoli mengi lakini mko nafasi ya tatuKwani asingekuwa anafunga, Real hata hiyo nafasi ya tatu wangekuwepo? Pia significance yake utaiona kwenye UCL.