Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #35,341
FULL TIME: Real Madrid 3-1 PSG (Cristiano 45' (p), 83', Marcelo 86'; Rabiot 33').
Pesa mbaya,,, unadhani hata yy anapendaHuyu Neymar afadhali aende Madrid,huko PSG is a waste of talent
Sana Mkuu, nilipata wakat mgumu sana Leo, haswa jamaa walivyotufunga., acha tu tufurahi hata kwasasa tukisubiriround ya pili.,Haya walitudharau sana
Dogo amekuwa na impact kubwa sana kwenye game tulizocheza hiv karibuni, nilitamani sana aanze badala ya Benzema., hope time anapata muda wa kutosha, sababu ninategemea goli kutoka kwake,Talk about impact on the game. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
![]()
Tatizo ni mkataba wa benzema pale, unampa nafasi ya kuanza kila mechi kipindi cha kwanza ikiwa si majeruhiDogo amekuwa na impact kubwa sana kwenye game tulizocheza hiv karibuni, nilitamani sana aanze badala ya Benzema., hope time anapata muda wa kutosha, sababu ninategemea goli kutoka kwake,