Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Me ningemuanzisha Isco afu bale nje aanzie benchi...lengo nikutawala eneo la kati ..yaan tuwape pressure kupitia katikati...maana wao huwa wanatumia winga...
Lucas ni mzuri ana mbio maamuzi ya haraka ila control na penetration Isco kamzidi....kwa mimi aisee ningemuanzisha isco....Kuna Media zinadai anaweza akaanzishwa Lucas Vazquez leo.
Lucas ni mzuri ana mbio maamuzi ya haraka ila control na penetration Isco kamzidi....kwa mimi aisee ningemuanzisha isco....
LinkMan, naangalia live stream Real Madrid wanavyowasili Santiago Bernabéu, hawa supporters ni hatari. Hii ni more than a football. It is something else.