Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #35,061
Typical Kroos finish. And that was first touch and brilliant assist from Kovacic.
Leo naona Cr7 kaomba timu impe magori ya bure ili amfikie yule naniiiii wa ile timu ya naniliiiiiiiiHii ya Benzema mbona ilikuwa kali sasa, sikuweza kuangalia game yote, ila hata kwa highlight tu sijaona kitu alichofanya., sasa hii ya kupata moto wakati ametolewa inatokana na nin!!They say Benzema felt a little frustrated for being substituted
![]()
Unadhani ni kazi rahisi kupiga penalty!? umeshuhudia wachezaji wangapi wakikosa penalty, tena za muhimu kabisa!!? So kupiga penalty na ukafunga ni kipaji pia., Kupiga tu penalty ni ujasiri tosha, unatakiwa ujiamini haswa.CR7 bila penalty ni mweupe kama karatasi,FIFA itabidi ifanye magoli ya penalty yasihesabike kwa mchezaji
Lakini alipiga kazi sana game hii alikuwa anarudi kukaba na kuisaidia midThey say Benzema felt a little frustrated for being substituted
![]()
Trust me, this is the only thing you'll be celebrating this season!