Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,533
- 32,757
Sijui huyu Dogo ni nin kimemkumba kwa kweli, niliona kama alikuwa ana mwelekeo mzuri japokuwa Mariano alikuwa mtu kwa kukaza kuliko yeye, itakuwa poa kama akitoka tena kwa mkopo tuangalie uelekeo wake tena.,To be honest, this boy Mayoral doesn't deserve to be in a starting eleven.
Karibu tena Mkuu, sio kwamba tumeona Mwezi ila ndio hivyo mambo yameanza tena.., [HASHTAG]#Backinourways[/HASHTAG]!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]Kipofu kaona mwezi. Anyway, Hongereni wakuu.
Aliyewagonga tumempasua goal 5