Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

This is our squad for tonight's Copa del Rey quarter-final second leg against CD Leganes!

DUTRVwnWsAAg8aS.jpg
 
Marca’s Cover | “He asks him for more: Zidane wants Asensio to show again the level he was in a few months back.”

DUSn1DZX4AAK0SE.jpg
 
Zizu out.

Zizou bora aende tu sasa. Hii game kama katufanyia makusudi tu, tumeona first leg ilivyokuwa complicated, nikafikiria leo angeanza na kikosi kamili. Huyu Zidane ni pumbavu sana huyu, yaani. Sasa hata akibaki tutegemee nini. Bora aende tu huyu
 
Tumecheza na hii timu last week, we barely scored a goal, sasa ilikuwaje apange tena kikosi kilekile kwenye Crucial game. Zizou bora aende tu, Real Madrid imekuwa kama Getafe
 
Zizou bora aende tu sasa. Hii game kama katufanyia makusudi tu, tumeona first leg ilivyokuwa complicated, nikafikiria leo angeanza na kikosi kamili. Huyu Zidane ni pumbavu sana huyu, yaani. Sasa hata akibaki tutegemee nini. Bora aende tu huyu
Kabisa Mkuu games kadhaa tumekufa sababu ya game plan mbovu ya Zizu. Namuona Zizu akivunjiwa kandarasi tukidhalilishwa na PSG
 
Ningependelea Zidane abaki, ila ninaona akiondoka kwa kweli, Wema wake na uaminifu kwa wachezaji wake ndio unamponza, aliamini na bado anawaamini sana vijana wake, ila tatizo ndio wanamwangusha., James aliondoka sababu aliona Isco anafaa, hakusajii striker kutokana na kuona Benzema akisaidiwa na Borja mambo yataenda, pia alimtegemea Asensio ndio ataimarika zaidi msimu huu, ila cha ajabu hawa vijana wamedrop completely, wamekuwa kama wageni kabisa, ninaweza hata kuwatetea akina Theo kwamba hawaja adapt, ila sio hao wengine .

Last season team B ilikuwa ipo vizur sana, lakini msimu huu ni kama tu hatuna backup ya maana., tumetolewa kizembe sana kwa kweli.
Ningefurahi kama club itaendelea kumvumilia Zizou mpaka huu msimu uishe tuanze tena upya, tatizo halipo sana kwa Coach, ila vijana wetu wamechoka sio kawaida.
 
Game na PSG itakuwa ni chungu sana kwetu tusipoangalia, tunaweza kudhalilishwa haswaa, tuendelee kuamini tu kuwa hii team itaendelea kuimarika, kidogo Dani, Marcelo, Modric, Varane na Bale kidogo wanajitahid, sasa hao wengine ngoja tuone kwenye game na Valencia watakuwaje,
 
Ngoja Leo wanaume tumutandike Espanol 3 -0 kama tulivyo mtandika Madrid
 
Ningependelea Zidane abaki, ila ninaona akiondoka kwa kweli, Wema wake na uaminifu kwa wachezaji wake ndio unamponza, aliamini na bado anawaamini sana vijana wake, ila tatizo ndio wanamwangusha., James aliondoka sababu aliona Isco anafaa, hakusajii striker kutokana na kuona Benzema akisaidiwa na Borja mambo yataenda, pia alimtegemea Asensio ndio ataimarika zaidi msimu huu, ila cha ajabu hawa vijana wamedrop completely, wamekuwa kama wageni kabisa, ninaweza hata kuwatetea akina Theo kwamba hawaja adapt, ila sio hao wengine .

Last season team B ilikuwa ipo vizur sana, lakini msimu huu ni kama tu hatuna backup ya maana., tumetolewa kizembe sana kwa kweli.
Ningefurahi kama club itaendelea kumvumilia Zizou mpaka huu msimu uishe tuanze tena upya, tatizo halipo sana kwa Coach, ila vijana wetu wamechoka sio kawaida.

Mkuu hata akibaki usitegemee changes zozote na usishangae timu hii hii ndio tukaenda nayo next season pia. Kama unakumbuka kabla ujio wa Mourinho hii timu ilikuwa na full over 30s expensive players, mpaka tukapigwa 3 - 0 na Alcorcon kwenye Copa del Rey kama hivi. While our rivals are busy signing good players, Zizou is still experimenting the line-up for 2 years in row. Now I know why this bald head failed with Real Madrid Castilla.
 
Kuna wakati nilikua nacheka jinsi mlivyo na team mbovu. Ila mmefikia hatua mbaya mpaka nimeanza kuwahurumia.

Yani mmetolewa na team ambayo kabla haijacheza na nyie tulikua hatujui kama ina exist?

You guys are going down like a lead balloon!

Wachezaji wa kuunga unga. Waviziaji wasiokua na consistency. Kocha asiekua na mbinu mbadala!

The way you guys are going down, you'll soon discover gas!

Mkuu hata akibaki usitegemee changes zozote na usishangae timu hii hii ndio tukaenda nayo next season pia. Kama unakumbuka kabla ujio wa Mourinho hii timu ilikuwa na full over 30s expensive players, mpaka tukapigwa 3 - 0 na Alcorcon kwenye Copa del Rey kama hivi. While our rivals are busy signing good players, Zizou is still experimenting the line-up for 2 years in row. Now I know why this bald head failed with Real Madrid Castilla.
Mkuu sipendi kupeleka lawama moja kwa moja kwa Zidane, japokuwa kama Coach atabeba mzigo wake pamoja na Management kwa kukosa macho ya wapi tunapoelekea, ilikuwa ngum sana kupredict direct downfall ya wachezaji wetu, na hiki ndio kinawacho watatiza hata Mgt yetu kumtimua Zidane.
Tatizo wachezaji wetu wamechoka akili na mwili, hata tukibadili bench la ufundi bado ni yale yale, so shida ni kubwa kwa kweli kwasasa.
 
Jana niliwabetia nyie panya wa Perez mkatandikwa buku 5 yangu ikasepa
Ila nika assume hiyo pesa nimewalipa legganes kuwachokonoa kunako inya
 
Ile back to back ya uefa mwarabu kipara alikuwa anatembelea nyota ya wenzie tu,hana uspesheli wowote. Muda ume muhukumu vizuri sana.
 
Back
Top Bottom