Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,154
- 14,114
Babake barca kaingiaje hapo????.....refa yupi wakati sahivi wana Neymar???!!!!..... Cha moto lazma ukione....PSG are going to murder us, labda tuwaambie Barcelona watuazime yule Refa wao wa mwaka jana
Kumbe mnajua kuwa huwa mnabebwaMcmu huu tupambane na Copa del rey tu,,Uefa labda refa awe yule aliechezesha semi final msimu uliopta na Munich
Madrid tatizo ni kocha
Usimsahau na penaldoMadrid tatizo ni kocha
Nipe matokeo ya real ya jana.Na hilo likotinyo lenu mnalioverate tu na utadhani litacheza UEFA, afu kwanza ngojeni mwisho wa mwezi huu mchapike UEFA.
Zidane kichwa kigumu sana, dk 75 wachezaji wamechoka ila bench hakuna anae pasha.
Ukimuuliza after mechi tatizo nini anasema hakuna. Usajiri vipi anasema timu yake imekamilika!
Tumejaa tele weka nyanga na tunguli zako
Mkui fungua group, hii kitu ni nzuri, niliona Arsenal Fans walienda kufanya Usafi Hospotali ya Temeke kama sikosei, walitoa na misaada ya vitanda vya Wagonjwa, itapendeza sana Club yetu ikiwa na official Platform ya fans wake kwa hapa nchiniWadau kuna WhatsApp group la Real Madrid TZ?
Kama lipo; 0768895416 naomba admission
Kama halipo Salamander afanye mchakato chap