Tulicheza mechi ngapi kufikia fainali?Me n madridista ila ile game eeeh,,, uliona magoli aliyofunga Ronaldo, uliangalia speech ya Zizzou baada ya ile mechi aliongea nn......Embu pitia tena alaf uje uthibitishe huo unafk hapa mkuu
Sasa mbona hawapi muda wa kucheza wa kutosha,Zidane anaamini sana vijana, wachezaj watachkuliwa kutoka academy,mwaka wetu huu
Emery (PSG's coach) : "PSG have been preparing for years to beat the best and at the moment the best are Real Madrid."
Ntawanyoosha sana awamu hii, Coutinho ndaniiii
Celta Virgo hao wanakuja kimbia...mara Valencia hawa...kuna uwezekano mkacheza Ueropa mwakani maana hamna kwakupumulia wala kutokea mara PSG hawa...Na hilo likotinyo lenu mnalioverate tu na utadhani litacheza UEFA, afu kwanza ngojeni mwisho wa mwezi huu mchapike UEFA.
Celta Virgo hao wanakuja kimbia...mara Valencia hawa...kuna uwezekano mkacheza Ueropa mwakani maana hamna kwakupumulia wala kutokea mara PSG hawa...
Zidane alidhani ni Al shaabab aliowafunga world club cup
Eeeh naipenda kazi yangu ,nauona mwisho wako naona meli inazama na Mr kipara na penaldo wake (watu wajanja wajanja wako ndani)Mkuu naona sikuhizi KK SECURITY wamewawekea wifi, unakula mb za bure tu hapo
Eeeh naipenda kazi yangu ,nauona mwisho wako naona meli inazama na Mr kipara na penaldo wake (watu wajanja wajanja wako ndani)
Neymar alikua ni player wetu kuna tatizo?au ulikua unaumia kuchezea Barca?so far we sijui mpira umeujua jana Barcelona iliyotisha ulaya Neymar hakuwepo ndani kabisa na wala katika ma legends wa barca hayupoPaulinyo, dembele, kotinyo na nani mwingine sijui! Naona mnahaha sana kutafuta replacement ya Neymar tu, inaonekana ni waoga kwelikweli manake hamjiamini kabisaa
Neymar alikua ni player wetu kuna tatizo?au ulikua unaumia kuchezea Barca?so far we sijui mpira umeujua jana Barcelona iliyotisha ulaya Neymar hakuwepo ndani kabisa na wala katika ma legends wa barca hayupo
Huyu ndiyo mchezaji pekee anayewabebaga hawa malofa wakatibwa shida na raha,hukuna cha Christina wala Bele hapa.Real Madrid XI & the bench
Njoo utambe kule sasa.....si ulisema utakuja utambe...????Nafikiri haina sababu tena ya kupoteza muda na fedha Catalans wapewe tu kombe la liga.