Muda BBC kuondoka na kuleta damu mpya hasa aubeyang au Keane,na beki 1 ya kat,tukisajili vzr jan naamini tunaweza kubadilika kwenye uefa lkn LA liga tunanusa vumbi tuZizou kafanya manyanga makubwa sana kuwaacha Morata na James bila replacement. Januari ndo hiyo Perez avunje kibubu akawachukue Kane na Pierre.
PSG watatuua
bado tuna imani na Zizu, tumefungwa ni sehem ya game unataka ushinde kla cku wewe ni nani? Hala MadridDuh!...Weeeh acha tuu ndugu, watatuua kweli na sio kufa tu bali nachokiona hiyo match ni kuzikwa kabisa na jeneza la magoli...."NATUFUNGWE TUUU MAANA HAMNA NAMNA NYINGINE SASA" Mmh! najiskia vibaya sana kwa kweli na nasikitika kuumaliza mwaka vibaya mbele ya macho yangu haya ya mwili, ILA NISEME TU NAOMBA TUKOSE MAKOMBE YOTE(mpaka Hivi sasa laliga tushaikosa na UEFA Hatuwezi chukua kwa dizaini hii tunayokwenda nayo) NA TUFUNGWE MECHI ZA KUTOSHA KISHA HUYU ZIDANE ATIMULIWE....MAANA UKITIZAMA YEYE NDO CHANZO CHA HAYA YOTE TUKIANZA KUISHIWA NA MBINU, PIA KUTOSAJILI KAMA ALIVYOMUELEZA PEREZ WASISAJILI HASA MBAPPE ETI KIKOSI CHETU KIPO NJEMA WAKATI HIVI SASA MADUDU WANAYOFANYA TUNAYAONA WENYEWE....MAANA ATA KAMA WACHEZAJI WAMECHOKA KWA MECHI NYINGI MSIMU ULIOPITA LAKINI KAMA ZIDANE ANGESAJILI TUNGEKUWA NA MIBADALA YA KUELEWEKA ILA YEYE KAZI NI KUMBEBA BENZEMA WAKE TU.
SureZizou kafanya manyanga makubwa sana kuwaacha Morata na James bila replacement. Januari ndo hiyo Perez avunje kibubu akawachukue Kane na Pierre.
Degea wa nn mkuu wakati dani cavajal yupoPerez vunja Bank nunua Kane, De Gea, Hazard tutafute ata ka Copa Del Rey
Utani wa ngumi huuDegea wa nn mkuu wakati dani cavajal yupo
Degea wa nn mkuu wakati dani cavajal yupo
Salamander tupe stori karudijerudije huyu mjamaaVinicius Jr In Madrid
Thiago na Matteo nyama zenu hizi zinaandaliwa mzikule ka mshua wenu anavyozikula baba zaoReal Madrid youth academy populated by sons of famous players: Zidane, Marcelo, Canizares, De la Red and Guerrero [Marca]
Huyu hajui soccer,anaejua mpira ni Roger Sterling siku nyingi kajua kiama kinakuja,kajipiga ban siku nyingiSalamander tupe stori karudijerudije huyu mjamaa
Au tupe picha zake wakati anatoka bernabeu
bado tuna imani na Zizu, tumefungwa ni sehem ya game unataka ushinde kla cku wewe ni nani? Hala Madrid
AlsoMpira hauna uaduiView attachment 657885
..Zizo hawezi kufukuzwa msimu huu hata iweje.....Zizou amefanya makubwa sana Madrid.....Madrid imekuwa timu ya kwanza kuchukua UCL mara mbili mfululizo...hakuna timu yoyote iliyowahi kufanya hivyo....Madrid amecheza mechi nyingi mno wachezaji wengi wamechoka...Msimu huu hakuna komb lolote watakalochukua hata wenyewe wanajua hilo.....watakachofanya ni kujenga timu kwa msimu unaokuja....PSG wataitoa Madrid na Zizou hatafuzwaDuh!...Weeeh acha tuu ndugu, watatuua kweli na sio kufa tu bali nachokiona hiyo match ni kuzikwa kabisa na jeneza la magoli...."NATUFUNGWE TUUU MAANA HAMNA NAMNA NYINGINE SASA" Mmh! najiskia vibaya sana kwa kweli na nasikitika kuumaliza mwaka vibaya mbele ya macho yangu haya ya mwili, ILA NISEME TU NAOMBA TUKOSE MAKOMBE YOTE(mpaka Hivi sasa laliga tushaikosa na UEFA Hatuwezi chukua kwa dizaini hii tunayokwenda nayo) NA TUFUNGWE MECHI ZA KUTOSHA KISHA HUYU ZIDANE ATIMULIWE....MAANA UKITIZAMA YEYE NDO CHANZO CHA HAYA YOTE TUKIANZA KUISHIWA NA MBINU, PIA KUTOSAJILI KAMA ALIVYOMUELEZA PEREZ WASISAJILI HASA MBAPPE ETI KIKOSI CHETU KIPO NJEMA WAKATI HIVI SASA MADUDU WANAYOFANYA TUNAYAONA WENYEWE....MAANA ATA KAMA WACHEZAJI WAMECHOKA KWA MECHI NYINGI MSIMU ULIOPITA LAKINI KAMA ZIDANE ANGESAJILI TUNGEKUWA NA MIBADALA YA KUELEWEKA ILA YEYE KAZI NI KUMBEBA BENZEMA WAKE TU.